Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wa amani Tanga wajadili udumishaji amani

Wadau wa amani jijini Tanga wamekutana kujadili namna ambayo watadumisha amani kwenye kipindi cha kampeni na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na nafasi ya urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Wadau hao ni viongozi wa dini na wa kisiasa, makundi ya kijamii na waandishi wa habari ambao wote kwa pamoja wametakiwa kutumia nafasi zao kuhakikisha amani inaendelea kuwepo wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Nafasi ya viongozi wa dini, siasa, makundi ya kijamii na waandishi wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi, vyama wajadili amani katika kampeni

Jeshi la Polisi limerejea tena tamko lake la kupiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya siasa, ambavyo limeeleza kuwa vina mwelekeo wa kijeshi, kufanya kazi za ulinzi likidai kuwa linaingilia majukumu yake.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

10 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani

Watangazania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), wameanza kutangaza nia na wengine kuchukua fomu

 

10 years ago

Vijimambo

2002 DMV ILIPOKOSA AMANI, JE WADAU TUNAIKUMBUKA HII?


Chini na juu ni gari (1990 CAPRICE) iliotumika kutulia watu wasio na hatia mwaka 2002, haitasahaulika, watu waliokuwa hawatembei hawaendi makazi wala gas station, ilkuwa haijulikani mauaji yanatokea wapi, wakati gani na nani muuaji




 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO yawakutanisha wadau kujadili amani uchaguzi mkuu

UN 1

Katibu Mkuu wa Baraza la Mahedhebu kwaajili ya Amani,Mchungaji,Canon Thomas Godda akizungumza katika kongamano la Amani lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO)kwa kushirikiana na madhehebu ya Dini na Viongozi wa Mila ili kuhamasisha amani katika kipindi cha uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Na Mwandishi wetu, Simanjro

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia na Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) limekutanisha wadau mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani