Polisi, vyama wajadili amani katika kampeni
Jeshi la Polisi limerejea tena tamko lake la kupiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya siasa, ambavyo limeeleza kuwa vina mwelekeo wa kijeshi, kufanya kazi za ulinzi likidai kuwa linaingilia majukumu yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI WAJADILI MWENENDO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Baraza la vyama vya Siasa nchini wajadili mwenendo wa kampeni za Uchaguzi Mkuui!
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kutafakari mwenendo wa Kampeni unavyoendelea na Changamoto na Utatuzi wake katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar,kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Fedha ya Baraza la vyama vya Siasa Constantine Akitanda na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa ya Baraa la vyama vya Siasa Lifa Chopaka. (Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar)
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar
Baraza la...
10 years ago
GPL
KUELEKEA UCHAGUZI... MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAMBULISHA KAMPENI YA AMANI
10 years ago
StarTV06 Oct
Wadau wa amani Tanga wajadili udumishaji amani
Wadau wa amani jijini Tanga wamekutana kujadili namna ambayo watadumisha amani kwenye kipindi cha kampeni na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na nafasi ya urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Wadau hao ni viongozi wa dini na wa kisiasa, makundi ya kijamii na waandishi wa habari ambao wote kwa pamoja wametakiwa kutumia nafasi zao kuhakikisha amani inaendelea kuwepo wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Nafasi ya viongozi wa dini, siasa, makundi ya kijamii na waandishi wa...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Sep
Msajili wa vyama aonya matusi katika kampeni.
NA ELIZABETH ZAYA 8th September 2015 Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini, imesema itakichukulia hatua chama chochote ambacho kitabainika kutumia lugha za matusi katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini kwa sasa. Akizungumza na waandishi […]
The post Msajili wa vyama aonya matusi katika kampeni. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
VijimamboKAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI
10 years ago
Dewji Blog30 Apr
Wanazuoni wajadili mustakabali wa Tanzania demokrasia ya vyama vingi
Jaji Francis Mtungi akifungua mkutano wa wadau wa siasa wa uimarishaji demokrasia ya vyama vingi.
Na Modewji Blog team
Dk. Benson Bana wa Chuo Kikuu cha Dare s salaam ambaye amebobea katika masuala ya siasa amewataka wadau wa siasa na wananchi kwa ujumla kuzuia uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufuata Sheria na kutobeza mamlaka.
Dk Bana alisema hayo jana akijibu swali la msimamizi wa mdahalo wenye lengo la kuimarisha demokrasia ya vyama vingi ulioandaliwa na Msajili wa Vyama...
11 years ago
Dewji Blog18 Sep
Wabunge EALA wajadili muswada wa vyama vya ushirika
Na Mwandishi wetu
WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya ya kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Isabelle Ndahayo, alisema kuwa wamekutana kuupitia muswada wa sheria kuhusiana na vyama vya ushirika ili sheria watakazozipitisha zisaidie vyama hivyo.
Ndahayo alisema kuwa kukutana kwao kutasaidia nchi zilizokatika jumuiya hiyo kwani sheria hiyo...
10 years ago
GPL
WANAZUONI WAJADILI MUSTAKABALI WA TANZANIA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI