BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI WAJADILI MWENENDO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kutafakari mwenendo wa Kampeni unavyoendelea na Changamoto na Utatuzi wake katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar,kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Fedha ya Baraza la vyama vya Siasa Constantine Akitanda na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa ya Baraa la vyama vya Siasa Lifa Chopaka.-Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Mwenyekiti wa Baraza la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Baraza la vyama vya Siasa nchini wajadili mwenendo wa kampeni za Uchaguzi Mkuui!
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kutafakari mwenendo wa Kampeni unavyoendelea na Changamoto na Utatuzi wake katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar,kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Fedha ya Baraza la vyama vya Siasa Constantine Akitanda na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa ya Baraa la vyama vya Siasa Lifa Chopaka. (Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar)
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar
Baraza la...
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
9 years ago
GPLKUELEKEA UCHAGUZI... MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAMBULISHA KAMPENI YA AMANI
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
NEC yakemea vikali ukiukwaji wa maadili unaofanywa na vyama vya siasa wakati wa kampeni za uchaguzi
Maadili ya Uchaguzi awa Ajili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na Mwaka 2015
(chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (sura ya 343)
Sisi Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja tumekubaliana kuwa na uchaguzi huru, wa haki, uwazi, na wa kuaminika. Na kwamba Amani, Ustawi wa Nchi, Usalama wa Raia, Uhuru wa Vyama vya Siasa na Utii wa Sheria, Kanuni na taratibu za uchaguzi ndio msingi wa...
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Vyama vya Siasa 21 vimesaini Maadili ya uchaguzi mkuu Tanzania
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. (Picha na Maktaba).
Vyama vya Siasa 21 vinavyotarajiwa kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu vimesaini Maadili ya uchaguzi yatakayotumika wakati wa kampeni, kupiga kura na wakati wa kutangaza matokeo.
Maadili hayo yanayohusisha Serikali, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Vyama vya Siasa yalisainiwa na Katibu Mkuu...
5 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...
9 years ago
MichuziBaraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila
9 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA KISTAARABU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU