Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DK. KIGWANGALA AHIMIZA AMANI NCHINI

Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangala akizungumza na vikundi mbalimbali mbalimbali vya Joging vilivyoshiriki katika tamasha la Mbio za Amani lililoshirikisha wawakilishi kutoka pande mbalimbali za nchi na kupokelewa na mbunge huyo ambye alikuwa mgeni rasmi, Dr. Khamis Kigwangala amewaasa wanasiasa kutoleta siasa za uchochezi hasa katika mchakato mzima wa Katiba mpya ambapo amesema waachwe wananchi wenyewe waisome waielewe na wao wataamua kama wataipigia kura ya Ndiyo au Hapana,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli ahimiza Amani nchini, ashiriki misa ya Krismasi katika kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar e Salaam !

 

x12

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015. Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Bilal ahimiza amani, upendo

SERIKALI imewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili libakie na amani, utulivu na upendo kwani ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal,...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu Msemwa ahimiza amani

WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo katika Jimbo la Kanisa Katoliki la Tunduru/ Masasi, wamehimizwa kudumisha upendo, amani na utulivu ili kutoa nafasi ya maendeleo kutawala miongoni mwa jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Shein ahimiza Wazanzibari kudumisha amani

Dk Ali Mohamed SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu na kuepuka mifarakano inayoweza kuligawa taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Papa Francis ahimiza amani Tanzania

BALOZI wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Montelilo Padilla amewahimiza Watanzania kupendana, kudumisha amani na pia kuzitii mamlaka zilizowekwa na wananchi. Askofu Padilla ambaye pia ni Mwakilishi wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, aliyasema hayo mjini Tarime wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tarime, huku akisisitiza kuwa, ni ujumbe aliopewa na Papa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis ahimiza amani na uwazi

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, amani, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

 

9 years ago

Michuzi

IGP MANGU AHIMIZA UCHAGUZI WA AMANI TARIME.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Maofisa wa Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya jana wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo wa Kipolisi.Kushoto ni Kamanda wa Polis Kanda Maalumu Tarime na Rorya, Lazaro Mambosasa. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hosteli ya Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya jana wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo wa Kipolisi. Mkuu wa Jeshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani