Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP MANGU AHIMIZA UCHAGUZI WA AMANI TARIME.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Maofisa wa Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya jana wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo wa Kipolisi.Kushoto ni Kamanda wa Polis Kanda Maalumu Tarime na Rorya, Lazaro Mambosasa. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hosteli ya Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya jana wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo wa Kipolisi. Mkuu wa Jeshi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

IGP Mangu ataka amani kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25

Mkuu wa Jeshi la Polisi  Nchini (IGP), Ernest Mangu amewataka wadau wa amani Mkoa wa Mara kuhakikisha amani inakuwepo katika kipindi chote cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

IGP Mangu awatahadharisha wanasiasa Tarime, Rorya

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Ernest Mangu amewataka wagombea na viongozi wa vyama vya siasa katika wilaya ya Tarime na Rorya kuhakikisha wanalinda amani ili viashiria  vya uvunjifu wa amani visitokee tena katika majimbo yaliyomo katika wilaya hizo

Kauli hiyo imekuja kufuatia matukio mawili  ya vurugu za wanachama na wafuasi wa vyama kupigana na kusababsha kifo cha mtu mmoja na wengine kadha kujeruhiwa kwa siraha  za jadi katika jimbo la tarime vijijini

Mangu ameyasema hayo  katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Chikawe, IGP Mangu na changamoto za usalama Tarime

Kumekuwapo malalamiko mengi baina ya wananchi, wenye migodi wa eneo la Nyamongo wilayani Tarime na askari wa Jeshi la Polisi katika mkoani Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu awafunda Polisi

MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...

 

11 years ago

Habarileo

Ernest Mangu ndiye IGP mpya

Ernest ManguRais Jakaya Kikwete jana, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

 

10 years ago

IPPmedia

Yes, IGP Mangu, police stations must be guarded


Yes, IGP Mangu, police stations must be guarded
IPPmedia
Last Sunday entered the country's books of records, particularly those kept by the Police after unidentified armed bandits stormed Stakishari Police Station in Dar es Salaam Region, killing seven people, including four police officers. Police reports ...

 

11 years ago

Mwananchi

Makamanda wa Polisi wamzungumzia IGP Mangu

Baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa mbalimbali nchini, wamepongeza uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu huku wakiahidi kushirikiana naye katika mapambano ya kupunguza kama si kutokomeza kabisa uhalifu nchini.

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AONGEZA ASKARI KITETO

E88A9486
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyosababisha kutokea kwa  vifo.kushoto ni Afisa tarafa wa Matui Bw.Eliakimu Ndelekwa.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)E88A9514Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi  wa Kata ya Matui Wilayani...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

IGP Mangu awapa neno Waislamu


NA MWANDISHI WETU
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu, ameungana na viongozi wa dini ya Kiislamu kukemea vitendo vya uhalifu.
Ili kudhibiti vitendo hivyo, amezitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto  ili kuondokana na wimbi la watu wanaojiingiza makundi yanayofanya mambo hayo.

IGP Mangu alisema hayo jana katika  mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa Kiislamu katika kuimarisha usalama nchini yenye kauli mbiu isemayo ‘Amani na usalama ndio maisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani