Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Chikawe, IGP Mangu na changamoto za usalama Tarime

Kumekuwapo malalamiko mengi baina ya wananchi, wenye migodi wa eneo la Nyamongo wilayani Tarime na askari wa Jeshi la Polisi katika mkoani Mara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

IGP Mangu awatahadharisha wanasiasa Tarime, Rorya

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Ernest Mangu amewataka wagombea na viongozi wa vyama vya siasa katika wilaya ya Tarime na Rorya kuhakikisha wanalinda amani ili viashiria  vya uvunjifu wa amani visitokee tena katika majimbo yaliyomo katika wilaya hizo

Kauli hiyo imekuja kufuatia matukio mawili  ya vurugu za wanachama na wafuasi wa vyama kupigana na kusababsha kifo cha mtu mmoja na wengine kadha kujeruhiwa kwa siraha  za jadi katika jimbo la tarime vijijini

Mangu ameyasema hayo  katika...

 

9 years ago

Michuzi

IGP MANGU AHIMIZA UCHAGUZI WA AMANI TARIME.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Maofisa wa Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya jana wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo wa Kipolisi.Kushoto ni Kamanda wa Polis Kanda Maalumu Tarime na Rorya, Lazaro Mambosasa. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hosteli ya Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya jana wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo wa Kipolisi. Mkuu wa Jeshi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE, IGP NA KAMISHNA MKUU UHAMIAJI ZIARANI CHINA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto), Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu (kushoto), Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Sylvester Ambokile (wanne kushoto) wakipokea taarifa kuhusu Mfumo wa Ufuatiliaji wa Mienendo ya Watu (Public Surveilance Sytem (Global eye)  kutoka kwa Mtaalam wa Kampuni ya Telecom ya nchini China. Waziri Chikawe na ujumbe wake wapo jijini Beijing, China kwa ziara ya kikazi. 

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATUA KIGOMA, AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe katika ofisi za Mkoa huo zilizopo mjini Kigoma wakati Waziri Chikawe na maafisa wake walipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. Waziri Chikawe alikutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya usalama katika wilaya zote za mkoa huo. Waziri Chikawe katika ziara yake hiyo, pia anatarajiwa kutembelea Kambi za...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE MAMILIONI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimshukuru Ofisa wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kushoto) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu, jijini Arusha. Wapili kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa mambo ya ndani Mh. Mathias Chikawe kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Usalama wa mitandao (Cyber Defence East Africa 2014).





 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh Mathias Chikawe atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa kangamano la usalama wa mitandao (Cyber Defense East Africa 2014) tar 16-19 Septemba.
Wadau mbalimbali wa sekta ya ulinzi na usalama wa mitandao wakiwemo wanasheria, wakaguzi wa kifedha na wale wa mitandao, wataalamu wa utunzaji mifumo ya kopyuta na mitando yake, wakuu wa vitengo vya TEHAMA wanatarajiwa kuhudhuria kongamano hilo. 
Mkutano wa ulinzi na usalama wa mitandao hufanyika kila mwaka hapa Tanzania na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu awafunda Polisi

MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani