WAZIRI CHIKAWE ATUA KIGOMA, AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe katika ofisi za Mkoa huo zilizopo mjini Kigoma wakati Waziri Chikawe na maafisa wake walipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. Waziri Chikawe alikutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya usalama katika wilaya zote za mkoa huo. Waziri Chikawe katika ziara yake hiyo, pia anatarajiwa kutembelea Kambi za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Waziri Chikawe, IGP Mangu na changamoto za usalama Tarime
5 years ago
MichuziKAMATI YA ULINZI NA USALAMA KAHAMA YARIDHISHWA KASI YA UJENZI MRADI WA MAJI NGOGWA - KITWANA
Mradi huo unasimamiwa na kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga (SHUWASA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) pamoja na...
5 years ago
MichuziWAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA NJE, ULINZI NA USALAMA WATEMBELEA JENGO LA WIZARA LILILOPO MTUMBA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nje, Ulinzi na Usalama walipofanya ziara ya kikazi kwenye Jengo la Wizara lililopo Mtumba jijini Dodoma tarehe 15 Machi 2020
Mhe. Prof. Kabudi akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya NUU
Wajumbe wa Kamati ya NUU akiwemo Mhe. Vuai Nahodha (kulia) wakimsikiliza Prof. Kabudi (hayupo pichani). Kushoto ni Mhe. Augustino Masele.
Wajumbe...
5 years ago
MichuziKAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA MVOMERO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA CHUO KIKUU MZUMBE
Hayo ameyasema wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eHcn3tNtKhc/XoYDk-19rNI/AAAAAAAC840/7tS4ce-xsPArudA05n3n_oGijldGiUGSACLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
COVID-19: Mkao mpya kikao cha kamati ya ulinzi na usalama chafanyika nje ya ofisi
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Njombe ikiongozwa na mwenyekiti
wa kamati hiyo ambaye ni mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri
imelazimika kufanya kikao chake cha kawaida nje ya ofisi wakiwa
wamesimama kwa kupeana nafasi takribani masaa mawili ili kutekeleza
agizo la kuto kukaa kwa karibu kwa lengo la kuzuia maambukizi ya
virusi vya CORONA (COVID-19).
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amewatoa hofu wajumbe wa kikao
hicho kutokana na mkao huo kwa kuwa ni...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PiHE_JDlogg/U8Wgg0yigoI/AAAAAAAF2l4/I7dEJg27gmA/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Waziri chikawe akutana na balozi wa marekani
![](http://2.bp.blogspot.com/-PiHE_JDlogg/U8Wgg0yigoI/AAAAAAAF2l4/I7dEJg27gmA/s1600/unnamed+(10).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gi-GxH02hUw/U8WghINt0kI/AAAAAAAF2mE/8wJ69U9fVgw/s1600/unnamed+(11).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0ZPboTPx89Y/U-ncC1V_TSI/AAAAAAAF-3o/Hs9JW6mtoRU/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
VODACOM YAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE MAMILIONI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-0ZPboTPx89Y/U-ncC1V_TSI/AAAAAAAF-3o/Hs9JW6mtoRU/s1600/unnamed%2B(20).jpg)