Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri chikawe akutana na balozi wa marekani

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Waziri Chikawe na Balozi huyo walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na maofisa wa ubalozi huo, ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana.Waziri Chikawe na Balozi huyo walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na wizara. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na wasaidizi wa balozi huyo, kuhusu masuala mbalimbali ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Akutana na Balozi wa Marekani

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Masatu Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe Mark Childress ofisini kwake.
Mhe Wasira katika mazungumzo yake na Balozi Childdress alibainisha changamoto zinazokabili kilimo nchini kuwa ni pamoja na zana duni zinazotumiwa na wakulima wadogo katika kilimo kuwa ni jembe la mkono. Alisema kwa kutumia jembe la mkono itakuwa ni ngumu kuondoa umaskini kwa wakulima wadogo katika maeneo ya vijijini.
Aliongeza...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini akutana na Balozi wa Marekani nchini

Na Teresia Mhagama
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress na Ujumbe wake, wamekutana na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachewene, katika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.
Viongozi hao walikutana ili kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo miradi ya umeme inayofadhiliwa na Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), mradi mkubwa wa umeme unaofadhiliwa na nchi ya Marekani ujulikanao kama Umeme Afrika (Power Africa) pamoja na suala la kuwajengea...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Waziri  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Mark Childress alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani na kukumbuka Wahanga wa tukio la kigaidi lililotokea Marekani miaka 13 iliyopita (September 11). Mazungumzo yao yalifanyika tarehe 11 Septemba 2014.Mhe. Membe akimweleza jambo Balozi Childress wakati wa mazungumzo yao.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA WA UTALII BEVERLEY, LOS ANGELES MAREKANI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kulia) akizungumza na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa juu ya mikakati mbalimbali ya kuvutia watalii wa kimarekani kutembelea Tanzania jana Beverly, Los Angeles. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa (kushoto) na Bw. Abdul Majid baada ya kupokea taarifa ya mikakati wanayoitumia...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATUA KIGOMA, AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe katika ofisi za Mkoa huo zilizopo mjini Kigoma wakati Waziri Chikawe na maafisa wake walipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. Waziri Chikawe alikutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya usalama katika wilaya zote za mkoa huo. Waziri Chikawe katika ziara yake hiyo, pia anatarajiwa kutembelea Kambi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani