Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA MVOMERO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA CHUO KIKUU MZUMBE

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mvomero ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Mwl. Mohammed Utali ameupongeza uongozi wa Chuo kikuu Mzumbe kwa kuwa na maamuzi yenye tija kwa Chuo na Taifa kwa kuwekeza kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa,, kumbi za mikutano na ofisi za wafanyakazi kwa kutumia mapato yake ya ndani katika ujenzi wa jengo jipya nala kisasa lenye ghorofa nne eneo la Maekani Kampasi Kuu.

Hayo ameyasema wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AONGOZA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KUKAGUA ENEO LILILOKUMBWA NA MADHARA YA UPEPO MKALI

Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro ametoa agizo kwa uongozi wa kata ya Matamba kufanya mikutano ya kuwaelewesha wananchi umuhimu wa kujenga nyumba zao katika hali ya uimara pamoja na kupanda miti ya matunda pembezoni mwa nyumba zao
Ametoa agizo hilo hivi karibuni wakati alipotembelea eneo lililopata maafa ya kuezuliwa nyumba na upepo mkali ulioambatana na mvua na kugundua kuwa ujenzi hafifu wa nyumba zao nao umechangia kwa kiasi kikubwa hasara hiyo
"Wananchi wanajenga nyumba...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA WA MKOA WA RUVUMA

SAFARI: Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha Karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho uliopo umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini. Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Habari wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha Karafuu cha kikundi cha ujasiriamali cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema...

 

10 years ago

Vijimambo

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Mapema wiki iliyopita Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilitembelea miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini ili kukagua utekelezaji wake. Miradi hiyo ni pamoja na Kituo cha kuzalisha samaki Morogoro, Skimu ya Umwagiliaji Iringa vijijini, Maghala ya COWABAMA Iringa Vijijini, Ujenzi wa Barabara ya Iringa – Dodoma, Bwawa la Mtera, Ujenzi wa Barabara ya Manyoni – Itigi, utandikaji wa Reli eneo kati ya Kitaraka na Malongwe, Shamba la Kitengule, One Stop Border Post Mutukula, Mkongo wa...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YAKAGUA MADARAJA LUHEKEI MKOANI RUVUMA

Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo akizungumza na timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake. Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo akitoa maelekezo kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake. Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ikijionea...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi

UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.

 

10 years ago

Michuzi

nondozzz chuo kikuu Mzumbe mjini morogoro

 Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mstaafu Barnabas Samatta akimtunuku shahada ya uzamivu (Phd) mmoja wa wahitimu, Joseph Sangau, katika mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi kuu mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.  Kushoto ni Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Josephat Itika.  Sehemu ya wahitimu wa mahafali ya 13 ya chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika katika kampasi kuu ya chuo hicho mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utawala na Fedha, Chuo Kikuu...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kufunda wataalamu mafuta na gesi

Prof. Joseph KuzilwaCHUO Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Stellenbosch, cha Afrika Kusini kinaandaa mitaala ya programu ya shahada ya uzamili katika menejimenti ya miradi mikubwa ya sekta za madini, gesi na mafuta.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA CHUO KIKUU MZUMBE

RAIS  Jakaya Kikwete, akiwa  na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, mkoani Morogoro, baada ya kuwahutubia chuoni hapo, juzi. (Picha zote na Ikulu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani