WAZIRI CHIKAWE, IGP NA KAMISHNA MKUU UHAMIAJI ZIARANI CHINA
![](http://1.bp.blogspot.com/-UrXyW_DZEOQ/U5iTg8YwwPI/AAAAAAAFpy8/LaRaFi22RDU/s72-c/unnamed+(66).jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto), Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu (kushoto), Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Sylvester Ambokile (wanne kushoto) wakipokea taarifa kuhusu Mfumo wa Ufuatiliaji wa Mienendo ya Watu (Public Surveilance Sytem (Global eye) kutoka kwa Mtaalam wa Kampuni ya Telecom ya nchini China. Waziri Chikawe na ujumbe wake wapo jijini Beijing, China kwa ziara ya kikazi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-NeLkIRNsV5k/U5iThLUulJI/AAAAAAAFpy4/0qSEWLobYjs/s1600/unnamed+(67).jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU13MoraFEU*-QLMCPfRweWZIBeRdJtF-6bWu5LmuDyMMWDw1eRC7M-AxdxtoAql*dPwGubitzQPrarW8M68hh5kS/unnamed43.jpg?width=650)
MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.… ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tKoRcQH4Iw0/VMH9V7JuruI/AAAAAAAG_I8/ldFoUiUB5O8/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-tKoRcQH4Iw0/VMH9V7JuruI/AAAAAAAG_I8/ldFoUiUB5O8/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-crs0O2xumAc/VMH9W9dmkUI/AAAAAAAG_JE/vjbWroLdqIc/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AONGOZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Waziri Chikawe, IGP Mangu na changamoto za usalama Tarime
Kumekuwapo malalamiko mengi baina ya wananchi, wenye migodi wa eneo la Nyamongo wilayani Tarime na askari wa Jeshi la Polisi katika mkoani Mara.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mKkkxy7JF68/U2Dxiys88cI/AAAAAAAFeJs/adKVN38eDMs/s72-c/unnamed+(66).jpg)
Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza
![](http://3.bp.blogspot.com/-mKkkxy7JF68/U2Dxiys88cI/AAAAAAAFeJs/adKVN38eDMs/s1600/unnamed+(66).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-x4MqX8xAyGk/U2DxfaOwF7I/AAAAAAAFeJQ/uf4QgNzEzQ8/s1600/unnamed+(68).jpg)
10 years ago
MichuziMH. CHIKAWE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-h7Ro3K4Y_JY/U-SOThiJI2I/AAAAAAAF934/eru5HRiu-4A/s72-c/IMG-20140807-WA0009.jpg)
Waziri wa Habari ziarani nchini China
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangala yuko nchini China katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Sekta ya Utangazaji na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Utangazaji kati ya Tanzania na China.
Katika ziara hiyo ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na Mkurugenzi wa Utangazaji TCRA Bwana Habbi Gunze.![](http://2.bp.blogspot.com/-h7Ro3K4Y_JY/U-SOThiJI2I/AAAAAAAF934/eru5HRiu-4A/s1600/IMG-20140807-WA0009.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangala na ujumbe wake...
Katika ziara hiyo ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na Mkurugenzi wa Utangazaji TCRA Bwana Habbi Gunze.
![](http://2.bp.blogspot.com/-h7Ro3K4Y_JY/U-SOThiJI2I/AAAAAAAF934/eru5HRiu-4A/s1600/IMG-20140807-WA0009.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2w1oM9jocEQ/U-SOUd7YsiI/AAAAAAAF938/0d1inlEUanE/s1600/IMG-20140807-WA0010.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania