Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza
![](http://3.bp.blogspot.com/-mKkkxy7JF68/U2Dxiys88cI/AAAAAAAFeJs/adKVN38eDMs/s72-c/unnamed+(66).jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele...
Michuzi