Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa mambo ya ndani Mh. Mathias Chikawe kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Usalama wa mitandao (Cyber Defence East Africa 2014).





 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh Mathias Chikawe atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa kangamano la usalama wa mitandao (Cyber Defense East Africa 2014) tar 16-19 Septemba.
Wadau mbalimbali wa sekta ya ulinzi na usalama wa mitandao wakiwemo wanasheria, wakaguzi wa kifedha na wale wa mitandao, wataalamu wa utunzaji mifumo ya kopyuta na mitando yake, wakuu wa vitengo vya TEHAMA wanatarajiwa kuhudhuria kongamano hilo. 
Mkutano wa ulinzi na usalama wa mitandao hufanyika kila mwaka hapa Tanzania na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (Mb) ALIYOTOA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 21 OKTOBA, 2015 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA WIZARA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Ndugu Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani zoezi ambalo litawashirikisha watanzania wote...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. MATHIAS CHIKAWE AZINDUA RASMI HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" GEREZA KUU LILUNGU, MKOANI MTWARA

Na, Lucas Mboje, Mtwara
Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza nchini wametakiwa kutumia fursa ya maduka yenye bidhaa nafuu "Duty Free Shop" zilizofunguliwa katika Magereza mbalimbali ili kupata vifaa vya ujenzi na kujenga makazi yaliyobora na ya kudumu kabla ya kustaafu Utumishi wao Jeshini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe alipokuwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Magereza "Duty Free Shop" ya Gereza Kuu Lilungu, Mkoani Mtwara.

Amesema kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MATHIAS CHIKAWE ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MANAZI MMOJA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mathias Chikawe aliyeketi wa tatu kutoka kushoto , akiwa pamoja na watumishi wa Idara za wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwemo Polisi , Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa baada ya Waziri Chikawe kutembelea mabanda ya wizara yake jana katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, aliyeketi wa pili kutoka kushoto ni Msemaji wa wizara Isaac...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MH. MATHIAS CHIKAWE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNHCR TANZANIA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyekaa kutoka kushoto  Mh, Mathias Chikawe akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu shughuli za Idara ya Wakimbizi kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Tanzania  Joyce Mends-Cole aliyekaa kati kati. Mwakilishi huyo alimtembelea Waziri Chikawe leo katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kujitambulisha kwa Waziri huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Michuzi

UJUMBE WA KAMPUNI YA POLY TECHNOLOGIES, INC. YA CHINA WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI , MHE. MATHIAS CHIKAWE OFISINI KWAKE

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) akiongea na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China (haupo pichani) uliomtembelea ofisini kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil na na kulia ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China uliomtembelea ofisini kwake.  Wa pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani