Makamanda wa Polisi wamzungumzia IGP Mangu
Baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa mbalimbali nchini, wamepongeza uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu huku wakiahidi kushirikiana naye katika mapambano ya kupunguza kama si kutokomeza kabisa uhalifu nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Feb
IGP Mangu apangua makamanda polisi
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
IGP Mangu apangua makamanda wa mikoa
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, amemhamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Shilogile. Shilogile amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi Dar...
11 years ago
Habarileo06 Feb
IGP afanya mabadiliko ya makamanda Jeshi la Polisi
MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali za jeshi hilo huku akifanya uhamisho kwa baadhi ya makamanda.
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Majambazi waua polisi wawili, IGP apangua makamanda 160
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
IGP Mangu awafunda Polisi
MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
5 years ago
Michuzi
IGP SIRRO AFANYA UHAMISHO KWA BAADHI YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

Miongoni mwa waliohamishwa, amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Salum Hamduni kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha na aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha ACP Jonathan Shana amehamishwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Polisi Shinyanga wamdhalilisha IGP Mangu
BAADHI ya wakazi wa mjini hapa wamepigwa na butwaa kuwaona baadhi ya maofisa wa polisi wakitembeza bakuli mitaani wakiomba mchango wa fedha kwa ajili ya ukarabati wa magari mabovu ya...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
IGP Mangu washughulikie polisi hawa
JESHI la Polisi nchini lilianzishwa kwa lengo la kuwalinda raia na mali zao. Kama yakijitokeza matukio yanayokwenda kinyume cha sheria, linapaswa kuchukua hatua. Katika kulifanya Jeshi la Polisi lifanye shughuli...
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Nafahamu tatizo la mishahara ya polisi - IGP Mangu