Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP SIRRO AFANYA UHAMISHO KWA BAADHI YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini SACP David Misime imesema kuwa leo 24/06/2020 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amefanya uhamisho kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa ili kuongeza ufanisi na tija katika kazi za Polisi. 
Miongoni mwa waliohamishwa, amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Salum Hamduni kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha na aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha ACP Jonathan Shana amehamishwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: IGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA MIKOA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.
Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) Deusdedit Nsimeki  anayekwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Aliyekuwa kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Habarileo

IGP afanya mabadiliko ya makamanda Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest ManguMKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko katika nafasi mbalimbali za jeshi hilo huku akifanya uhamisho kwa baadhi ya makamanda.

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA SHULE YA POLISI MOSHI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikagua eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wapili kulia) akitumia darubini kuangali wakati alipofanya ziara ya ukaguzi eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA MKUTANO KWA NJIA YA VIDEO



Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wasaidizi wake leo 17/06/2020 jijini Dar es salaam, wakishiriki kwa njia ya mtandao (Video Conference ) mkutano wa Jumuiya ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa Nchi za Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO) unaojumuisha nchi 15 ikiwemo Tanzania katika mkutano wake wa kawaida wa...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO ATOA MAELEKEZO MAZITO KWA WAKUU WA POLISI WA WILAYA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Wakuu wa Polisi wa Wilaya OCDs kuhakikisha wanasimamia mikutano wakati wa kampeni ili iwe ya amani na utulivu.

IGP Sirro amesema hayo leo akiwa mkoani Simiyu wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa huo na kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo ambapo alisema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga kusimamia uchaguzi na kwamba litaendelea kutoa elimu kwa wananchi ikiwa pamoja na kushirikiana ipasavyo na wadau wa uchaguzi.

Aidha,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu apangua makamanda wa mikoa

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, amemhamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Shilogile. Shilogile amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi Dar...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MKOA WA KIPOLISI ILALA




Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona utayari wao na namna wanavyotekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani