IGP Mangu awapa neno Waislamu
![](http://3.bp.blogspot.com/-4JG_01MxY-A/VS_aiRcgMSI/AAAAAAAACGE/d9oPOk90yzU/s72-c/igp%2Bmangu.gif)
NA MWANDISHI WETU
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu, ameungana na viongozi wa dini ya Kiislamu kukemea vitendo vya uhalifu.
Ili kudhibiti vitendo hivyo, amezitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto ili kuondokana na wimbi la watu wanaojiingiza makundi yanayofanya mambo hayo.
IGP Mangu alisema hayo jana katika mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa Kiislamu katika kuimarisha usalama nchini yenye kauli mbiu isemayo ‘Amani na usalama ndio maisha...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
IGP Mangu awafunda Polisi
MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
11 years ago
Habarileo31 Dec
Ernest Mangu ndiye IGP mpya
Rais Jakaya Kikwete jana, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ExWs59FKLxc/UwR-akta46I/AAAAAAAFN8M/Bpgx48W9qg0/s72-c/igp+mangu.gif)
IGP MANGU, CHAGONJA WAKEMEA UHALIFU
![](http://2.bp.blogspot.com/-ExWs59FKLxc/UwR-akta46I/AAAAAAAFN8M/Bpgx48W9qg0/s1600/igp+mangu.gif)
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Makamanda wa Polisi wamzungumzia IGP Mangu
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Meya Silaa amlilia IGP Mangu
MEYA wa Ilala, Jerry Silaa amemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi Ernest Mangu kutokubali askari wake kuwa wakala wa sheria za barabara. Silaa alisema hayo katika uchaguzi wa Naibu Meya...
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Chadema ngangari, IGP Mangu aonya
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuwa ngangari kwa kusisitiza kuwa maandamano yake yako palepale.
Chadema kimesema kuwa watajilinda wenyewe katika mikutano yao kwa sababu wana vijana waliopata mafunzo ya ulinzi na usalama.
Chama hicho jana kilitangaza kuanza kutekeleza maazimio ya mkutano wake mkuu kwa ajili ya kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchi nzima.
Wakati Chadema wakisisitiza...
10 years ago
IPPmedia18 Jul
Yes, IGP Mangu, police stations must be guarded
IPPmedia
Last Sunday entered the country's books of records, particularly those kept by the Police after unidentified armed bandits stormed Stakishari Police Station in Dar es Salaam Region, killing seven people, including four police officers. Police reports ...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
IGP Mangu apangua makamanda wa mikoa
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, amemhamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Shilogile. Shilogile amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi Dar...
10 years ago
MichuziMAZOEZI YANAJENGA AFYA — IGP MANGU