Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP MANGU, CHAGONJA WAKEMEA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu Na Frank Geofray wa  Jeshi la Polisi, Moshi. Jeshi la Polisi Nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na Imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu katika mkutano mkuu wa maofisa wakuu waandamizi unaoendelea katika chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA) ukiwa na kauli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

IGP, mashehe wakemea uhalifu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu. MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini, wameungana kukemea vitendo vya uhalifu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Karibu IGP Mangu, tunasubiri uhalifu kupungua

>Juzi, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, alimwapisha Ernest Mangu kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) akichukua nafasi iliyoachwa na Said Mwema ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu awafunda Polisi

MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...

 

10 years ago

IPPmedia

Yes, IGP Mangu, police stations must be guarded


Yes, IGP Mangu, police stations must be guarded
IPPmedia
Last Sunday entered the country's books of records, particularly those kept by the Police after unidentified armed bandits stormed Stakishari Police Station in Dar es Salaam Region, killing seven people, including four police officers. Police reports ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Meya Silaa amlilia IGP Mangu

MEYA wa Ilala, Jerry Silaa amemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi Ernest Mangu kutokubali askari wake kuwa wakala wa sheria za barabara. Silaa alisema hayo katika uchaguzi wa Naibu Meya...

 

11 years ago

Mwananchi

Makamanda wa Polisi wamzungumzia IGP Mangu

Baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa mbalimbali nchini, wamepongeza uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu huku wakiahidi kushirikiana naye katika mapambano ya kupunguza kama si kutokomeza kabisa uhalifu nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MAZOEZI YANAJENGA AFYA — IGP MANGU

  Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Ernet Mangu  akimpa mkono mshindi wa  Kwanza wa Riadha  ya Half May Day Marathon katika kundi la Wanaume,Alphonce Felix wa Club ya Holili,Kilimanjaro yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Boa  Bank Ammish Owusu, mshindi huyo amejipatia kitita cha Sh. 1100,000..Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Ernest Mangu akimpa mkono mshindi wa  Kwanza  wa  Riadha ya   Half May Day Marathon...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

IGP Mangu awapa neno Waislamu


NA MWANDISHI WETU
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu, ameungana na viongozi wa dini ya Kiislamu kukemea vitendo vya uhalifu.
Ili kudhibiti vitendo hivyo, amezitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto  ili kuondokana na wimbi la watu wanaojiingiza makundi yanayofanya mambo hayo.

IGP Mangu alisema hayo jana katika  mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa Kiislamu katika kuimarisha usalama nchini yenye kauli mbiu isemayo ‘Amani na usalama ndio maisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu washughulikie polisi hawa

JESHI la Polisi nchini lilianzishwa kwa lengo la kuwalinda raia na mali zao. Kama yakijitokeza matukio yanayokwenda kinyume cha sheria, linapaswa kuchukua hatua. Katika kulifanya Jeshi la Polisi lifanye shughuli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani