Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP, mashehe wakemea uhalifu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu. MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini, wameungana kukemea vitendo vya uhalifu nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

IGP MANGU, CHAGONJA WAKEMEA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu Na Frank Geofray wa  Jeshi la Polisi, Moshi. Jeshi la Polisi Nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na Imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu katika mkutano mkuu wa maofisa wakuu waandamizi unaoendelea katika chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA) ukiwa na kauli...

 

11 years ago

Habarileo

IGP aahidi kukomesha uhalifu

MKUU wa Jeshi la Polisi, Ernest ManguMKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema ipo changamoto kubwa ya kukabili uhalifu na kusema atajitahidi kuhakikisha hilo linafanikiwa.

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO TUMEJIPANGA KUKABILIANA NA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema Jeshi la Polisi limejipanga vizuri katika kuhakikisha linakabiliana vyema na matukio ya uhalifu yanayojitokeza nchini na kwamba Jeshi lipo imara hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
IGP Sirro amesema hayo wakati akikamilisha ziara yake ya ukaguzi katika Kanda Maalum ya Polisi...

 

10 years ago

Michuzi

IGP NA MASHEIKH WAUNGANA KUKEMEA UHALIFU NCHINI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akitoa hotuba yake katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa dini ya Kiislam katika kuimarisha usalama nchini yakiwa na kauli mbiu isemayo “Amani na usalama ndio maisha yetu”.
Na Frank Geofray- Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu pamoja na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini wameungana kwa pamoja kukemea vitendo vya uhalifu hapa chini pamoja na kuzitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuondokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Karibu IGP Mangu, tunasubiri uhalifu kupungua

>Juzi, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, alimwapisha Ernest Mangu kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) akichukua nafasi iliyoachwa na Said Mwema ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU IGP AHIMIZA MAFUNZO KUUKABILI UHALIFU MPYA

 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na baadhi ya Wakufunzi wa chuo cha Polisi Moshi (CCP) wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi kukagua mafunzo yanayoendelea chuoni hapo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP) Matanga Mbushi.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)
 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki (kushoto) akiwasili katika chuo cha Polisi Moshi (CCP) wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi...

 

10 years ago

Vijimambo

IGP AZUNGUMZA NA MASHEIKH WA JIJI LA DAR WAUNGANA KUKEMEA UHALIFU NCHINI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiongozana na viongozi wa dini ya kiislamu (kulia) Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania katika Mafunzo hayo Sheikh Abubakar Zuber na kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwinyibaraka Sheikh Issa Othman wakati akilelekea kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa dini ya Kiislamu ili kuimarisha usalama nchini.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Mwinyibaraka na kufanyika jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)

 

11 years ago

Habarileo

Mashehe, mapadri waionya NEC

WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza mpango wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura ili kuruhusu Watanzania wenye sifa kujiandikisha upya, viongozi wa dini nchini wameitaka tume hiyo kubadilisha pia siku ya kupiga kura, kutoka siku ya Jumapili ambayo huwa ya ibada hadi siku ya katikati ya wiki.

 

9 years ago

Habarileo

Mashehe waliotekwa DRC warejea Dar

MASHEHE sita waliokuwa wametekwa na waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC) wamerejea nchini jana, huku wakieleza kuwa kulitaja jina la Tanzania kumewaokoa na kifo kutoka kwa waasi hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani