Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP aahidi kukomesha uhalifu

MKUU wa Jeshi la Polisi, Ernest ManguMKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema ipo changamoto kubwa ya kukabili uhalifu na kusema atajitahidi kuhakikisha hilo linafanikiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

RC amuagiza RPC kukomesha uhalifu wa askari

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amemuagiza kamanda wa polisi mkoani hapa, Hamis Issa kuhakikisha hakuna askari anayejihusisha au kushirikiana na wahalifu.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI

  Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo, akiendelea na kampeni zake za kuisaka Ikulu nchini Kote huku akiwaomba Watanzania kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ili aweze kuwatumikia kwa uaminifu mkubwa.
Akitoa hotuba yake katika moja ya mikutano  yake alioufanya katika mji...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAGUFULI AAHIDI: Ni suala la kukomesha mapigano ya wakulima na wafugaji nchini!

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, akiendelea na kampeni zake za kuisaka Ikulu nchini Kote huku akiwaomba Watanzania kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani  ili aweze kuwatumikia kwa uaminifu mkubwa. PICHA NA MICHUZI JR-DODOMA Dkt Magufuli ameahidi kuwa mara baada ya kuchaguliwa...

 

10 years ago

Habarileo

IGP, mashehe wakemea uhalifu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu. MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini, wameungana kukemea vitendo vya uhalifu nchini.

 

11 years ago

Michuzi

IGP MANGU, CHAGONJA WAKEMEA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu Na Frank Geofray wa  Jeshi la Polisi, Moshi. Jeshi la Polisi Nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na Imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu katika mkutano mkuu wa maofisa wakuu waandamizi unaoendelea katika chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA) ukiwa na kauli...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO TUMEJIPANGA KUKABILIANA NA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema Jeshi la Polisi limejipanga vizuri katika kuhakikisha linakabiliana vyema na matukio ya uhalifu yanayojitokeza nchini na kwamba Jeshi lipo imara hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
IGP Sirro amesema hayo wakati akikamilisha ziara yake ya ukaguzi katika Kanda Maalum ya Polisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Karibu IGP Mangu, tunasubiri uhalifu kupungua

>Juzi, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, alimwapisha Ernest Mangu kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) akichukua nafasi iliyoachwa na Said Mwema ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Michuzi

IGP NA MASHEIKH WAUNGANA KUKEMEA UHALIFU NCHINI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akitoa hotuba yake katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa dini ya Kiislam katika kuimarisha usalama nchini yakiwa na kauli mbiu isemayo “Amani na usalama ndio maisha yetu”.
Na Frank Geofray- Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu pamoja na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini wameungana kwa pamoja kukemea vitendo vya uhalifu hapa chini pamoja na kuzitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuondokana na...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU IGP AHIMIZA MAFUNZO KUUKABILI UHALIFU MPYA

 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na baadhi ya Wakufunzi wa chuo cha Polisi Moshi (CCP) wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi kukagua mafunzo yanayoendelea chuoni hapo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP) Matanga Mbushi.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)
 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki (kushoto) akiwasili katika chuo cha Polisi Moshi (CCP) wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani