Papa Francis ahimiza amani Tanzania
BALOZI wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Montelilo Padilla amewahimiza Watanzania kupendana, kudumisha amani na pia kuzitii mamlaka zilizowekwa na wananchi. Askofu Padilla ambaye pia ni Mwakilishi wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, aliyasema hayo mjini Tarime wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tarime, huku akisisitiza kuwa, ni ujumbe aliopewa na Papa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Papa Francis ahimiza amani na uwazi
Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, amani, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Papa Francis ahimiza vijana wakabili rushwa
Papa Francis amehutubia maelfu ya vijana nchini Kenya na kuwahimiza wasijihusishe na ufisadi na ukabila.
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Papa Francis: Dini isitumiwe kuvuruga amani
Papa Francis ameongoza ibada ya misa ambayo imehudhuriwa na maelfu ya watu uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi ambapo amesisitiza umuhimu wa familia katika jamii.
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Papa Francis aombea amani Syria na Libya
Papa Francis ameombea kufanikiwa kwa juhudi za Umoja wa Mataifa za kutafuta amani nchini Syria na Libya kwenye ujumbe wake wa Krismasi.
11 years ago
BBCSwahili25 May
Papa francis aomba amani huko Israel
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa francis ameutaja mzozo kati ya Palestina na Israel kama usiokubalika.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Papa ahimiza amani katika rasi ya Korea
Papa Francis amezitaka Mazungumzo ya amani katika rasi ya Korea.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3FgczWesVpE/VlcSvF4-5MI/AAAAAAAIIgE/oVXLHzG8drE/s72-c/6.jpg)
Askofu Mkuu wa Tabora Kuongoza ujumbe wa Tanzania kumuona Papa Francis Uganda
![](http://2.bp.blogspot.com/-3FgczWesVpE/VlcSvF4-5MI/AAAAAAAIIgE/oVXLHzG8drE/s640/6.jpg)
Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka kesho (tarehe 27.11.2015) anatarajia kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francis nchini Uganda.
Baba Mtakatifu Francis anatarajia kuwasili nchini Uganda kesho kwa ziara ya siku mbili akitokea Kenya kabla ya kuelekea Afrika ya Kati.
Hii ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kutembelea Bara la Afrika tangu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9b9MQ9l_JvY/VlcTdAwuRuI/AAAAAAAIIgM/p1kjNK-O2-8/s72-c/6.jpg)
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashama Paulo Ruzoka Kuongoza ujumbe wa Tanzania kumuona Papa Francis Uganda
![](http://1.bp.blogspot.com/-9b9MQ9l_JvY/VlcTdAwuRuI/AAAAAAAIIgM/p1kjNK-O2-8/s640/6.jpg)
Na Joseph Ishengoma, MAELEZOAskofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka (pichani) kesho (tarehe 27.11.2015) anatarajia kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francis nchini Uganda.Baba Mtakatifu Francis anatarajia kuwasili nchini Uganda kesho kwa ziara ya siku mbili akitokea Kenya kabla ya kuelekea Afrika ya Kati.Hii ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kutembelea Bara la Afrika tangu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania