Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashama Paulo Ruzoka Kuongoza ujumbe wa Tanzania kumuona Papa Francis Uganda


Na Joseph Ishengoma, MAELEZOAskofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka (pichani) kesho (tarehe 27.11.2015) anatarajia kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francis nchini Uganda.Baba Mtakatifu Francis anatarajia kuwasili nchini Uganda kesho kwa ziara ya siku mbili akitokea Kenya kabla ya kuelekea Afrika ya Kati.Hii ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kutembelea Bara la Afrika tangu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Askofu Mkuu wa Tabora Kuongoza ujumbe wa Tanzania kumuona Papa Francis Uganda

Na Joseph Ishengoma, MAELEZO
Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka kesho (tarehe 27.11.2015) anatarajia kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francis nchini Uganda.
Baba Mtakatifu Francis anatarajia kuwasili nchini Uganda kesho kwa ziara ya siku mbili akitokea Kenya kabla ya kuelekea Afrika ya Kati.
Hii ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kutembelea Bara la Afrika tangu...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AMJULIA HALI ASKOFU RUZOKA WA JIMBO KATOLIKI TABORA

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimjulia hali leo Askofu Mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora. Mwenye shati jeupe ni Askofu Josephat Gwajima.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis kuongoza misa Cuba

Maelfu ya waumini wa kanisa katoliki wanahudhuria misa mjini Havana hii leo ambayo itaongozwa na kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA PAPA MTAKATIFU NCHINI FRANCHESCO PADILIA AMEMVALISHA MKANDA WA PALIOTAKATIFU ASKOFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA BEATUS KINYAIYA

 Balozi wa Papa Mtakatifu wa kanisa katoliki Nchini Franchesco Padilia akitosi pamoja na Askofu Mstaafu wa kanisa katoliki Jimbo la Dodoma Mathias Isuja walipokua kwenye Tafrija Fupi ya kumpongeza Askofu mteule wa jimbo hilo aliyekuwa akivishwa mkanda  wa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Pallium. baada ya kumkabidhi kusimamaia majimbo ya Dodoma, Kondoa na Singida  Balozi anayemwakilisha Papa Fransico nchini, Askofu Beatus Kinyaiya na Fadha Chesco Msaga Mwenye Suti wakiingia kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis kumbariki askofu Romero

Papa Francis ameondoa vikwazo dhidi ya kumbariki askofu Oscar Romero wa Salvado.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awasili nchini Uganda

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Uganda kwenye sehemu ya pili ya ziara yake Afrika.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: Beatus Kinyaia ateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.

Na  Frederic M. Gabriel wa Globu ya Jamii
Hatimaye leo baba Mtakatifu Papa Francisco amempandisha kutoka  askofu hadi kuwa askofu Mkuu askofu Beatus Kinyaiya, O.F.M. Cap (pichani) wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Beatus Kinyaiya alizaliwa Mei 9, 1957. Akapata daraja takatifu la Upadre katika shirika la Kimisionari la Wafranciscan Minor  tarehe 25 juni, 1989. Aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki la Mbulu tarehe 22 Aprili, 2006, nakusimikwa/ wekwa wakfu rasmi na Kardinali Polycarp...

 

10 years ago

Michuzi

Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo

Waziri mkuu mstaafu  na mbunge wa Monduli Mh edward Lowassa akimjulia hali leo hii askofu mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Bishop Gwajima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani