BREAKING NEWZZZZ: Beatus Kinyaia ateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.

Na Frederic M. Gabriel wa Globu ya Jamii
Hatimaye leo baba Mtakatifu Papa Francisco amempandisha kutoka askofu hadi kuwa askofu Mkuu askofu Beatus Kinyaiya, O.F.M. Cap (pichani) wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Beatus Kinyaiya alizaliwa Mei 9, 1957. Akapata daraja takatifu la Upadre katika shirika la Kimisionari la Wafranciscan Minor tarehe 25 juni, 1989. Aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki la Mbulu tarehe 22 Aprili, 2006, nakusimikwa/ wekwa wakfu rasmi na Kardinali Polycarp...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBALOZI WA PAPA MTAKATIFU NCHINI FRANCHESCO PADILIA AMEMVALISHA MKANDA WA PALIOTAKATIFU ASKOFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA BEATUS KINYAIYA
5 years ago
Michuzi
ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA


10 years ago
Habarileo30 Apr
Padre Mapunda ateuliwa Askofu Jimbo Katoliki Singida
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amemteua Padre Edward Mapunda (51) kuwa Askofu Mpya wa Jimbo la Singida.
10 years ago
VijimamboAskofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika
Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...
11 years ago
MichuziHafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...
11 years ago
GPLHAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA
10 years ago
Habarileo17 Jan
Askofu Mkuu Mteule Kanisa Katoliki Dodoma kusimikwa kesho
MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika misa takatifu ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Mteule wa jimbo kuu jipya la Kanisa Katoliki la Dodoma, Beatusi Kinyaiya.
9 years ago
Habarileo19 Nov
BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.
10 years ago
VijimamboSKOFU WA KANISA LA FPCT AMSIMIKA JOSEPH NGEDE KUWA ASKOFU WA JIMBO LA DODOMA