Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SKOFU WA KANISA LA FPCT AMSIMIKA JOSEPH NGEDE KUWA ASKOFU WA JIMBO LA DODOMA

 Wachungaji wa kanisa la Free Pentecoste Chuch Tanzania [FPCT] wakiwaombea wakinamama waliosimikwa rasmi kuwa viongozi wa wanawake wa jimbo la Dodoma. Askofu wa kanisa la FPCT nchini David Batenzi akiwaongoza wachungaji wa kanisa hilo kumuombea Askofu wa jimbo la Dodoma Joseph Ngede na Mke wake wakati walipokuwa wanasimikwa kwa ajili ya kazi hiyo. Askofu wa kanisa la FPCT nchini David Batenzi akiwaombea waumini wa kanisa hilo wakati wa kuzimikwa kwa askofu wa jimbo la Dodoma
Baadhi ya waumini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Askofu wa kanisa la FPCT Singida mjini Paulo Samwel Njoghomi, atunukiwa nishani ya heshima ya udaktari

DSC07093

Maandamano ya sherehe ya  kutunukiwa nishani ya heshima ya udaktari Askofu Paulo Samwel Njoghomi (mwenye miwani) wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida mjini. Nishani hiyo imetolewa na Chuo kikuu cha Africa Graduate cha nchini Sierra Leone.

DSC07133

Mkuu wa chuo kikuu cha Africa Graduate Timoth Kazembe, akimtunuku nishani ya heshima Askofu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Paulo Samwel Njoghomi Hafla hiyo ilifanyika katika kanisa la FPCT mjini hapa. DSC07112 Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Africa Graduate...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: Beatus Kinyaia ateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.

Na  Frederic M. Gabriel wa Globu ya Jamii
Hatimaye leo baba Mtakatifu Papa Francisco amempandisha kutoka  askofu hadi kuwa askofu Mkuu askofu Beatus Kinyaiya, O.F.M. Cap (pichani) wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Beatus Kinyaiya alizaliwa Mei 9, 1957. Akapata daraja takatifu la Upadre katika shirika la Kimisionari la Wafranciscan Minor  tarehe 25 juni, 1989. Aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki la Mbulu tarehe 22 Aprili, 2006, nakusimikwa/ wekwa wakfu rasmi na Kardinali Polycarp...

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

11 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

10 years ago

Habarileo

Askofu Mkuu Mteule Kanisa Katoliki Dodoma kusimikwa kesho

MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika misa takatifu ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Mteule wa jimbo kuu jipya la Kanisa Katoliki la Dodoma, Beatusi Kinyaiya.

 

9 years ago

Michuzi

Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravian Jimbo la Kusini mjini Tukuyu Leo

Msafara kutoka Usharika Tukuyu Mjini kuelekea Uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo katika Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravia Jimbo la Kusini, Viwanja vya Michezo Tandanle mjini Tukuyu Leo Kwaya Kuu Jimbo la Kusini- Kanisa la Moravian Tanzania; Ibada ya kuwekewa Wakfu Askofu Mteule Kenan Salim Panja wa kanisa la Moravian Jimbo la Kusini uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo.
Picha na Mpeli Nsekela

 

11 years ago

Michuzi

Taswira za misa ya pasaka kanisa katoliki jimbo la dodoma leo


 Askofu Gervas John Nyaisonga wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma akitoa Mahubiri wakati wa Misa ya Pasaka, kuadhimisha miaka zaidi ya elfu mbili tangu Ufufuko wa Yesu Kristo. Ibada hii iliyohudhuriwa na maelfu ya watu imefanyika katika Kanisa Kuu la Paulo wa Msalaba Dodoma.   Askofu Gervas John Nyaisonga wa Jimbo katoliki la Dodoma akiwabariki waumini kwenye Misa ya Pasaka katika Kanisa Kuu la Paulo wa Msalaba Dodoma, kuadhimisha miaka Zaidi ya elfu mbili tangu Ufufuko wa Yesu Kristo...

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani