Dk. Bilal ahimiza amani, upendo
SERIKALI imewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili libakie na amani, utulivu na upendo kwani ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Nov
Bilal ahimiza amani, umoja kwa Watanzania
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kudumisha amani na umoja wa Taifa, ikiwa ni njia pekee ya kujiletea maendeleo ya haraka badala ya kuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu.
10 years ago
Habarileo28 Dec
Askofu ahimiza upendo katika familia
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, Michael Hafidh amewataka wazazi kupata nafasi ya kukaa na familia zao.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FPB20Vn_wS4/VFagXo5QG8I/AAAAAAAGvIA/pSmz81E0fBk/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...
10 years ago
GPLSHIGONGO AHIMIZA UPENDO NA BIDII KWA WAFANYAKAZI GLOBAL
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Lowassa ahubiri amani, upendo
9 years ago
Habarileo29 Aug
Upendo Nkone kuombea amani
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo07 Nov
Shirikisho wenye ulemavu wasisitiza amani, upendo
WATANZANIA wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya kizazi cha sasa na kijacho kwa kuenzi misingi ya amani na uzalendo iliyojengwa na waasisi wa taifa.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M0c38LRTWp4/Vi7toHoA56I/AAAAAAAIC9o/qy1XtBBnH4Y/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
MICHEZO HULETA AMANI, UPENDO NA KUHESHIMIANA -TANZANIA
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-cyQK6nxXYuc/Vi9DRouBgVI/AAAAAAAEDGU/Na8KwXhbYWk/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
MICHEZO HUJENGA AMANI, UPENDO NA MSHIKANAMO-TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-cyQK6nxXYuc/Vi9DRouBgVI/AAAAAAAEDGU/Na8KwXhbYWk/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
Bw. Noel Kaganda, Afisa wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza kwa niaba ya Tanzania wakati wa upitishaji wa Azimio kuhusu nafasi ya michezo katika ujenzi wa ulimwengu ulio bora na wenye amani. Azimio hilo limepitishwa siku ya Jumatatu na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kabla ya kupitishwa wa Azimio, Wajumbe wa Baraza Kuu walifanya mkutano mfupi wa kumuenzi na kumkumbuka, Bw. Ali Treki mwanadiplomasia wa Libya na aliyewahi kuwa Rais wa Baraza Kuu...