MICHEZO HULETA AMANI, UPENDO NA KUHESHIMIANA -TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-M0c38LRTWp4/Vi7toHoA56I/AAAAAAAIC9o/qy1XtBBnH4Y/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Imeelezwa kwamba michezo ya aina yoyote ile kuanzia mpira wa miguu hadi mchezo wa bao, ikutumiwa vema na kwa uzito unaostahili ni moja ya eneo ambalo linaweza kuchangia katika siyo tu kuchochea kasi ya maendeleo bali hata katika kudumisha Amani, upendo na mshikamano miongoni mwa na baina ya mataifa. Ni kwa sababu hiyo jana ( Jumatatu) Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa mara nyingine Azimio ambalo pamoja na mambo mengine...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-cyQK6nxXYuc/Vi9DRouBgVI/AAAAAAAEDGU/Na8KwXhbYWk/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
MICHEZO HUJENGA AMANI, UPENDO NA MSHIKANAMO-TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-cyQK6nxXYuc/Vi9DRouBgVI/AAAAAAAEDGU/Na8KwXhbYWk/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
Bw. Noel Kaganda, Afisa wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza kwa niaba ya Tanzania wakati wa upitishaji wa Azimio kuhusu nafasi ya michezo katika ujenzi wa ulimwengu ulio bora na wenye amani. Azimio hilo limepitishwa siku ya Jumatatu na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kabla ya kupitishwa wa Azimio, Wajumbe wa Baraza Kuu walifanya mkutano mfupi wa kumuenzi na kumkumbuka, Bw. Ali Treki mwanadiplomasia wa Libya na aliyewahi kuwa Rais wa Baraza Kuu...
9 years ago
Habarileo29 Aug
Upendo Nkone kuombea amani
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Lowassa ahubiri amani, upendo
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Dk. Bilal ahimiza amani, upendo
SERIKALI imewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili libakie na amani, utulivu na upendo kwani ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal,...
10 years ago
Habarileo07 Nov
Shirikisho wenye ulemavu wasisitiza amani, upendo
WATANZANIA wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya kizazi cha sasa na kijacho kwa kuenzi misingi ya amani na uzalendo iliyojengwa na waasisi wa taifa.
10 years ago
Michuzi26 Jun
MKUTANO MKUBWA WA AMANI NA UPENDO KUFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA
![SAM_3390](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/NkTjsBxT8jET8BwqGmXPRPSN59C6Pm7nqbUHMyw8NqWLfmD8CsnfNV-yKkfzjdzsw8eSnFFUvaxo7rDbo3g-j7w3M3VVaN_UV2o35GskGOXvJ54=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/06/sam_3390.jpg)
![SAM_3402](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/DQUdPVNiIUOO2KizcUVf7ElPfovBg8YGjZgySN7akwtv0dQyd5KyhDBbnaThRIS4GErLuv6-3kElkiiOPjlabgl2TjfvhdX6ypUpOKC3s3jPvSo=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/06/sam_3402.jpg)
![SAM_3404](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/t2N1Fk3Ycxh0U8EeryNK4VoeGyrn1odJAxFGWIP4yIs-CCNBjnz4jXGe8rvX2zo3EGDmfOPoCFLWasGyO9mMbV24bLYLYvTFBr-qenhJpiBprQc=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/06/sam_3404.jpg)
9 years ago
Michuzi28 Aug
UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU
![indexG](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/indexG.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Aug
MGOMBEA UBUNGE ARUSHA ,MUSTAFA PANJU APANDIKIZA MBEGU YA UPENDO,AMANI NA MSHIKAMANO
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
![SAM_4682](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/2G7ZeKN7bP0VKyvIMLSi8rCMEgdsCihJjwaTJjflAObkjdzqTGczYdbuhMR3iAYP0JxSRreF2lFxpt_pV21l77q5Mmu9e09tiT4B6GjMjgy9o6I=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_4682.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Mgombea Ubunge Arusha , Mustafa Panju apandikiza mbegu ya Upendo, Amani na Mshikamano
![SAM_4682](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/2G7ZeKN7bP0VKyvIMLSi8rCMEgdsCihJjwaTJjflAObkjdzqTGczYdbuhMR3iAYP0JxSRreF2lFxpt_pV21l77q5Mmu9e09tiT4B6GjMjgy9o6I=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_4682.jpg)
Mkurugenzi wa Bushback Safaris, Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wananchama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama...