Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Msemwa ahimiza amani

WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo katika Jimbo la Kanisa Katoliki la Tunduru/ Masasi, wamehimizwa kudumisha upendo, amani na utulivu ili kutoa nafasi ya maendeleo kutawala miongoni mwa jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Askofu Angowi ahimiza amani, ataka kura maoni

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Jesse Angowi amesema kutounga mkono kufanyika kwa kura ya maoni Aprili, 2015 ni kukaribisha machafuko nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza Watanzania kuombea taifa

WATANZANIA wametakiwa kuongeza nguvu kuombea taifa kwa kile kilichoelezwa linapita katika kipindi kigumu kinachohitaji maombi.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu RC ahimiza kuombea Katiba mpya

MHASHAMU Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma, Damian Dallu amewataka waumini wa kanisa hilo kuuombea kwa dhati mchakato wa Katiba mpya unaoendelea, ili uweze kumalizika salama bila ya kuipitisha nchi katika majaribu ya machafuko.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza upendo katika familia

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, Michael Hafidh amewataka wazazi kupata nafasi ya kukaa na familia zao.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza serikali kusimamia haki, usawa

ASKOFU wa Kanisa la Africa Inland (AIC) wa Dayosisi ya Pwani, Charles Salalah amesema serikali isiyo na dini ndiyo itakayosimamia haki na usawa katika taifa, kinyume cha hapo inatafuta matatizo.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu Bundala ahimiza kilimo cha vitunguu

WAKULIMA wa Malembula Wilayani Kongwa wameshauriwa kuchangamkia fursa za kilimo cha vitunguu ili wajikwamue kiuchumi.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu ahimiza uwekezaji elimu ya juu nchini

>Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, amezungumzia umuhimu wa Tanzania kuwekeza katika elimu ya juu na kwamba kuwa taifa lolote lisilowekeza katika elimu litakuwa taabani kimaendeleo hasa ya kiuchumi.

 

9 years ago

Mtanzania

Askofu Kilaini ahimiza uwekezaji katika ndoa

Kilaini(2)Na Joan John, Kagera

ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu, Methodius Kilaini amewataka wanandoa nchini kuwekeza katika ndoa zao ili kuweza kujenga familia imara.

Askofu Kilaini alisema hayo juzi katika misa ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki mjini Bukoba ambapo alisema kuwa bila wanandoa kuwekeza katika ndoa zao, kamwe hawawezi kujenga familia imara.

Alisema Wakristo wanapaswa kujenga tabia ya uvumilivu, upendo, amani, kuthaminiana, kuheshimiana katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani