Askofu RC ahimiza kuombea Katiba mpya
MHASHAMU Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma, Damian Dallu amewataka waumini wa kanisa hilo kuuombea kwa dhati mchakato wa Katiba mpya unaoendelea, ili uweze kumalizika salama bila ya kuipitisha nchi katika majaribu ya machafuko.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo31 Dec
Askofu ahimiza Watanzania kuombea taifa
WATANZANIA wametakiwa kuongeza nguvu kuombea taifa kwa kile kilichoelezwa linapita katika kipindi kigumu kinachohitaji maombi.
11 years ago
Habarileo21 Apr
Pengo ahimiza Watanzania kuombea Bunge la Katiba
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kardinali Pengo, ametuma salamu za Pasaka kwa Watanzania wote huku akisisitiza kuliombea Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
Habarileo21 Oct
Wassira ahimiza wananchi kuisoma Katiba 'mpya’
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wassira, amewaomba wananchi wote wakiwemo wa vyama mbalimbali vya siasa, kuisoma kwa umakini wa hali juu Katiba mpya inayopendekezwa ili waone mazuri yaliyomo, badala ya kupotoshwa na baadhi ya wanasiasa, hasa wa kambi ya upinzani.
10 years ago
Habarileo13 Jan
Ahimiza viongozi wa dini kuombea Taifa
WAKATI Taifa likielekea katika kura ya maoni ya Katiba Mpya na Uchaguzi Mkuu, viongozi wa dini nchini wametakiwa kutumia muda wao kuliombea taifa kuwa na amani na kulivusha salama katika matukio hayo makubwa.
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Askofu: Katiba mpya ngumu kupatikana
IMEELEZWA kuwa katiba mpya haiwezi kupatikana kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na watawala hapo awali. Hayo, yamesemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Uhamsho wa Agano Jipya, Jackson Leguna, alipokuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MYTLNLYpF2RkqiaGdcgk5Dk6Jdl*YyKZPYkBrpwyc-EdINJvVtXkR4o*oKEilw2VeC3r1R42gRg-sGbMwE1ebAj/AskofuSeverinNiwemugizi.jpg?width=650)
ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba
![Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Askofu-Severin-Niwemugizi.jpg)
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.
Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja ikiwa...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Askofu Malassy Kuombea Amani Taifa
Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akizungumza jambo na kulia kwake ni Mchungaji wa kanisa hilo, Oliva Mallonga.
Mchungaji Mallonga (kulia) akionesha vitabu vinavyouzwa.
Wanahabari wakifuatilia hafla hiyo.
Askofu Malassy (kushoto) akisoma taarifa yake.
ASKOFU wa Kanisa la Tanzania Fellowship of Churches, Godfrey Emmanuel Malassy anatarajia kufanya maombi maalum kwa ajili ya mkesha wa kuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, lengo likiwa ni kudumisha amani ya taifa letu.
Akizungumza na...
10 years ago
Habarileo25 Nov
Askofu ataka Watanzania kuombea amani ya Kenya
ASKOFU Julius Salu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mombasa nchini Kenya amewataka Watanzania kuombea amani ya nchi hiyo, kutokana na kuwa na hali mbaya ya kiusalama.