Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Malassy Kuombea Amani Taifa

1.Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akizungumza jambo na kulia kwake ni, Mchungaji wa kanisa hilo, Oliva Mallonga.Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akizungumza jambo na kulia kwake ni Mchungaji wa kanisa hilo, Oliva Mallonga.2.Mchungaji Mallonga (kulia) akionesha vitabu vinavyouzwa.Mchungaji Mallonga (kulia) akionesha vitabu vinavyouzwa.3.Wanahabri wakifuatilia hafla hiyo.Wanahabari wakifuatilia hafla hiyo.4.Askofu Malassy (kushoto) akisoma taarifa yake.Askofu Malassy (kushoto) akisoma taarifa yake.

ASKOFU wa Kanisa la Tanzania Fellowship of Churches, Godfrey Emmanuel Malassy anatarajia kufanya maombi maalum kwa ajili ya mkesha wa kuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, lengo likiwa ni kudumisha amani ya taifa letu.

Akizungumza na...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka Watanzania kuombea amani ya Kenya

ASKOFU Julius Salu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mombasa nchini Kenya amewataka Watanzania kuombea amani ya nchi hiyo, kutokana na kuwa na hali mbaya ya kiusalama.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka waumini kuombea nchi amani

John MwelaASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini, John Mwela amewataka waumini kukazana katika maombi kuiombea nchi isiingie katika machafuko, hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa Katiba mpya na kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza Watanzania kuombea taifa

WATANZANIA wametakiwa kuongeza nguvu kuombea taifa kwa kile kilichoelezwa linapita katika kipindi kigumu kinachohitaji maombi.

 

9 years ago

GPL

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu  utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Mjumbe wa Kamati ya maandalizi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu  utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...

 

9 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu  utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha hilo....

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka viongozi wa dini kuombea taifa amani

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Bilal amewataka viongozi na waumini wa dini zote nchini, kuombea taifa ili Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni kwa ajili ya Kkatiba Inayopendekezwa zimalizike kwa amani na utulivu.

 

9 years ago

GPL

TAMASHA KUOMBEA AMANI LAFANA UWANJA WA TAIFA DAR

Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa albamu hiyo. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa filamu ya Bonny Mwaitege, iitwayo ‘Tunapendwa na Mungu’. Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mwimbaji wa…

 

9 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA DUA YA KUOMBEA TAIFA AMANI, JIJINI DAR


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani Tanzania, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana Nov 7...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani