Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya. Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.

Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja ikiwa...

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amtumia salamu za pongezi Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga

22

Padre Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga aliyeteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (T.E.C) na Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, kufuatia uteuzi uliofanywa na Baba Mtakatifu Francis, wa Padre Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga kuwa Askofu Mpya wa...

 

10 years ago

Michuzi

JK ahudhuria ibada ya kusimikwa askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu

ais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.---------------------------------Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumapili, Aprili 12, 2015 ameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Shinyanga, kuhudhuria Ibada rasmi ya kumweka wakfu na kumsimika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kanisa Katoliki latoa msimamo Katiba Mpya

Kanisa Katoliki nchini limeanza rasmi mkakati wa kutoa elimu kuhusu Katiba Inayopendekezwa kwa waumini wake, kutokana na kuondolewa kwa mambo mengi ya msingi yaliyotolewa maoni na wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

10 years ago

Habarileo

Askofu RC ahimiza kuombea Katiba mpya

MHASHAMU Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma, Damian Dallu amewataka waumini wa kanisa hilo kuuombea kwa dhati mchakato wa Katiba mpya unaoendelea, ili uweze kumalizika salama bila ya kuipitisha nchi katika majaribu ya machafuko.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu: Katiba mpya ngumu kupatikana

IMEELEZWA kuwa katiba mpya haiwezi kupatikana kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na watawala hapo awali. Hayo, yamesemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Uhamsho wa Agano Jipya, Jackson Leguna, alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani