Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu: Katiba mpya ngumu kupatikana

IMEELEZWA kuwa katiba mpya haiwezi kupatikana kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na watawala hapo awali. Hayo, yamesemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Uhamsho wa Agano Jipya, Jackson Leguna, alipokuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Katiba mpya hatihati kupatikana

Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole SendekaWABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameilalamikia Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, kuwa inaweza kuchangia kusipatikane Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mutungi: Hali ngumu Katiba mpya

>Kikao cha maridhiano kati ya CCM na Ukawa chini ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kimeshindwa kufikia mwafaka.Habari zilizotufikia wakati tukioenda mitamboni kutoka kwa mjumbe wa CCM, January Makamba zilisema wameshindwa kuafikiana.

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA

 Kaimu mwenyekiti wa Uukwaa la Katiba Tanzania Hebron Mwakagenda akizungumza na wanandishi wa habari leo Agosti 27, 2014 juu ya mwenendo wa bunge la katiba.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu RC ahimiza kuombea Katiba mpya

MHASHAMU Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma, Damian Dallu amewataka waumini wa kanisa hilo kuuombea kwa dhati mchakato wa Katiba mpya unaoendelea, ili uweze kumalizika salama bila ya kuipitisha nchi katika majaribu ya machafuko.

 

10 years ago

GPL

ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya. Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na...

 

10 years ago

Mtanzania

Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.

Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja ikiwa...

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

9 years ago

Mwananchi

Mufti mpya kupatikana kesho

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, anatarajiwa kupatikana kesho katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), utakaofanyika mjini hapa.

 

10 years ago

Mtanzania

Wiki ngumu Bunge Maalum la Katiba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Maregesi Paul, Dodoma

WIKI hii ni kati ya wiki ngumu zilizowahi kulikumba Bunge Maalum la Katiba lililoanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.

Wakati Bunge linaanza mwanzoni mwa mwaka huu, wajumbe walitumia muda mwingi kujadili sura ya kwanza na ya sita inayohusu muundo wa Serikali na pia walivutana wakati walipokuwa wakijadili kanuni za 37 na 38 za Bunge hilo zinazohusu upigaji kura ya siri au ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani