Jaji Mutungi: Hali ngumu Katiba mpya
>Kikao cha maridhiano kati ya CCM na Ukawa chini ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kimeshindwa kufikia mwafaka.Habari zilizotufikia wakati tukioenda mitamboni kutoka kwa mjumbe wa CCM, January Makamba zilisema wameshindwa kuafikiana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Askofu: Katiba mpya ngumu kupatikana
IMEELEZWA kuwa katiba mpya haiwezi kupatikana kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na watawala hapo awali. Hayo, yamesemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Uhamsho wa Agano Jipya, Jackson Leguna, alipokuwa...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Jaji Mutungi atangaza vita
Wanachama vyama vyote nchini kuhakikiwa Teknolojia mpya kutumika kubaini ubabaishajiNA RABIA BAKARIUBABAISHAJI na uendeshaji wa ujanja ujanja wa baadhi ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumua nchini, umeanza kuitisha Ofisi ya Msajili na sasa inajiandaa kuvifanyia uhakiki ili kubaini udanganyifu.Hatua hiyo inalenga kufichuliwa kwa vyama vyote vinavyoendeshwa kwa ujanja ujanja ama kutokuwa na vigezo vya kuendelea kuwa na usajili wa kudumu kutokana na mabadiliko mbalimbali.Habari za...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jaji Mutungi avitaka vyama kufuata sheria
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi imevitaka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ndogo unaoendelea hivi sasa katika jimbo la Kalenga na ule wa Chalinze kuzingatia kanuni...
11 years ago
Habarileo15 Mar
Jaji Mutungi ataka sheria za uchaguzi kuzingatiwa
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vinavyoshiriki katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika majimbo ya Kalenga, mkoani Iringa na Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani kuzingatia kanuni na sheria zote za uchaguzi.
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Jaji Mutungi: Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hali ya mambo yanayoendelea bungeni mjini Dodoma, haoni matumaini ya kupatikana Katiba mpya na hali hiyo imemkatisha tamaa. Wakati...
10 years ago
Vijimambo23 Oct
Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya
Imezingatia asilimia 20 tu ya maudhui ya Tume Masharti ya mgombea binafsi hayatekelezeki Kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu haiwezekani Muundo wa Muungano umeiweka Zanzibar pabaya zaidi Ni vigumu Rais wa Muungano kutoka Zanzibar Madaraka ya Bunge kuisimamia Serikali yamemomonyolewa Hakuna anakoenziwa Nyerere, maadili yametupwa
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano uliopendekezwa kwenye Katiba pendekezwa ‘una utata...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Jaji Mutungi, fanya haya kurejesha amani Arusha