Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mutungi avitaka vyama kufuata sheria

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis  Mutungi imevitaka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ndogo unaoendelea  hivi sasa katika jimbo la Kalenga na ule wa Chalinze kuzingatia kanuni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vyama vyote vya siasa ni sawa- Jaji Mutungi

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema, ofisi yake haina chama kikubwa na kidogo na kwamba inahudumia vyama vyote vilivyosajiliwa kwa hadhi inayofanana.

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO

Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Jambo hili linaleta Taswira mbaya kwa jamii, hasa kipindi hiki ukielekea katika uchaguzi Mkuu wa nchi.
Athari za migogoro hii ni nyingi, ikiwemo chama cha kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, kupoteza mvuto kwa jamii na wanachama wake, ukosefu wa amani na utulivu ndani ya chama na kupoteza sifa za usajili.Hivi sasa mfumo wa demokrasi ya vyama vingi vya siasa una takribani miaka...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi ataka sheria za uchaguzi kuzingatiwa

MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vinavyoshiriki katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika majimbo ya Kalenga, mkoani Iringa na Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani kuzingatia kanuni na sheria zote za uchaguzi.

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA

 
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi (wa pili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa Ofisi hiyo. Kushoto ni msajili wa vyama Zanzibar Bw. Rajab Baraka. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Na: Hassan Hamad, OMKR....

 

9 years ago

Michuzi

kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi

Na: Hassan Hamad, OMKR.
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...

 

11 years ago

Michuzi

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi atembelea bunge mjini Dodoma leo

 Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akiwasili katika ofisi za bunge mjini Dodoma Leo  Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Mhe.James Lembeli  Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Mhe. Muhammad Seif Khatibu. Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi, akijadiliana na Mhe.Seif  Khatib (kushoto)  na Mhe.Simbachawene. Pamoja na mambo mengine Jaji Mutungi ameelezea kuridhishwa na mwenendo wa mjadala wa Bunge maalumu  la...

 

9 years ago

Habarileo

Pinda avitaka vyama kukubali matokeo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mutungi awashukia viongozi wa vyama

Viongozi wakuu wa Kitaifa wa CCM, Chadema, CUF na NCCR –Mageuzi wametakiwa kuweka kando tofauti zao ili kunusuru mchakato wa kupatikana Katiba mpya.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Jaji Mutungi atangaza vita


Wanachama vyama vyote nchini kuhakikiwa Teknolojia mpya kutumika kubaini ubabaishajiNA RABIA BAKARIUBABAISHAJI na uendeshaji wa ujanja ujanja wa baadhi ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumua nchini, umeanza kuitisha Ofisi ya Msajili na sasa inajiandaa kuvifanyia uhakiki ili kubaini udanganyifu.Hatua hiyo inalenga kufichuliwa kwa vyama vyote vinavyoendeshwa kwa ujanja ujanja ama kutokuwa na vigezo vya kuendelea kuwa na usajili wa kudumu kutokana na mabadiliko mbalimbali.Habari za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani