Jaji Mutungi: Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unakabiliwa na changamoto kubwa suala la ruzuku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jul
Jaji Mutungi atafuta upenyo kuwarejesha Ukawa bungeni
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameingilia kati kuondoa changamoto zilizojitokeza katika awamu ya mchakato ya Bunge Maalumu la Katiba ambalo baadhi ya wafuasi wa kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wengi wakiwa viongozi wa vyama vya upinzani, walisusia.
9 years ago
Michuzikuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...
9 years ago
VijimamboJAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi (wa pili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa Ofisi hiyo. Kushoto ni msajili wa vyama Zanzibar Bw. Rajab Baraka. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Na: Hassan Hamad, OMKR....
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Jaji Mutungi atangaza vita
Wanachama vyama vyote nchini kuhakikiwa Teknolojia mpya kutumika kubaini ubabaishajiNA RABIA BAKARIUBABAISHAJI na uendeshaji wa ujanja ujanja wa baadhi ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumua nchini, umeanza kuitisha Ofisi ya Msajili na sasa inajiandaa kuvifanyia uhakiki ili kubaini udanganyifu.Hatua hiyo inalenga kufichuliwa kwa vyama vyote vinavyoendeshwa kwa ujanja ujanja ama kutokuwa na vigezo vya kuendelea kuwa na usajili wa kudumu kutokana na mabadiliko mbalimbali.Habari za...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jaji Mutungi avitaka vyama kufuata sheria
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi imevitaka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ndogo unaoendelea hivi sasa katika jimbo la Kalenga na ule wa Chalinze kuzingatia kanuni...
11 years ago
Habarileo15 Mar
Jaji Mutungi ataka sheria za uchaguzi kuzingatiwa
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vinavyoshiriki katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika majimbo ya Kalenga, mkoani Iringa na Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani kuzingatia kanuni na sheria zote za uchaguzi.
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Jaji Mutungi: Hali ngumu Katiba mpya
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Jaji Mutungi, fanya haya kurejesha amani Arusha
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Vyama vyote vya siasa ni sawa- Jaji Mutungi