Jaji Mutungi, fanya haya kurejesha amani Arusha
Desemba 6, mwaka huu Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi aliandika historia kwa kuitisha mkutano wa hadhara wa amani jijini Arusha ukishirikisha wadau wa siasa, dini na kijamii Arusha isipokuwa Chadema walioususia dakika za mwisho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-q_72PEWLk1M/ViFLcosH3BI/AAAAAAAIAb0/VDA3h0eJevY/s72-c/DSC_1176.jpg)
AMANI NDIO SILAHA YA MTANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU-JAJI MUTUNGI
Mtungi aliyasema hayo alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari katika kusisitiza amani katika uchaguzi mkuu na kutaka waandishi kutumia kalamu vizuri kwani amani ikiharibika hakuna anayebaki salama.
Amesema matatizo ambayo yameanza kutokea katika kamapeni yanayotokana na mtu...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Jaji Mutungi atangaza vita
Wanachama vyama vyote nchini kuhakikiwa Teknolojia mpya kutumika kubaini ubabaishajiNA RABIA BAKARIUBABAISHAJI na uendeshaji wa ujanja ujanja wa baadhi ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumua nchini, umeanza kuitisha Ofisi ya Msajili na sasa inajiandaa kuvifanyia uhakiki ili kubaini udanganyifu.Hatua hiyo inalenga kufichuliwa kwa vyama vyote vinavyoendeshwa kwa ujanja ujanja ama kutokuwa na vigezo vya kuendelea kuwa na usajili wa kudumu kutokana na mabadiliko mbalimbali.Habari za...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Fanya haya kupata ujauzito haraka
BAADA ya kufanya maandalizi ya muda mrefu kujiweka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito na kuwa mzazi, umewadia wakati wa kuutafuta huo ujauzito kwa vitendo. Kuna mambo mengi sana yanayosemwa...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Fanya haya upate mafanikio maishani
11 years ago
Habarileo15 Mar
Jaji Mutungi ataka sheria za uchaguzi kuzingatiwa
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vinavyoshiriki katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika majimbo ya Kalenga, mkoani Iringa na Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani kuzingatia kanuni na sheria zote za uchaguzi.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jaji Mutungi avitaka vyama kufuata sheria
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi imevitaka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ndogo unaoendelea hivi sasa katika jimbo la Kalenga na ule wa Chalinze kuzingatia kanuni...
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Jaji Mutungi: Hali ngumu Katiba mpya
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Jaji Mutungi: Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa