JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oKxTM5m0cec/U_5gR0GO2jI/AAAAAAAA_sA/dqVpPxosogE/s72-c/IMG_3109.jpg)
Kaimu mwenyekiti wa Uukwaa la Katiba Tanzania Hebron Mwakagenda akizungumza na wanandishi wa habari leo Agosti 27, 2014 juu ya mwenendo wa bunge la katiba.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Jukata: Sitta, Werema maadui wa Katiba
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ni maadui waliosababisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kuharibika.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti kwa kutumia nyadhifa zao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jukata yataka Katiba mpya isubiri 2016
11 years ago
Habarileo10 Mar
Katiba mpya hatihati kupatikana
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameilalamikia Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, kuwa inaweza kuchangia kusipatikane Katiba mpya.
10 years ago
MichuziJUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Askofu: Katiba mpya ngumu kupatikana
IMEELEZWA kuwa katiba mpya haiwezi kupatikana kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na watawala hapo awali. Hayo, yamesemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Uhamsho wa Agano Jipya, Jackson Leguna, alipokuwa...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Katiba Mpya: Rais Kikwete ajivua lawama
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s72-c/PIX-13.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s1600/PIX-13.jpg)
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
JUKATA wamwonya Sitta asiongeze muda wa Bunge
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuzingatia muda wa kumaliza shughuli za Bunge hilo. Kauli ya Jukata imekuja baada ya kuwepo kwa...