Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba Mpya: Rais Kikwete ajivua lawama

>Rais Jakaya Kikwete amejivua lawama zinazoelekezwa kwake kwamba hotuba yake ya kufungua Bunge la Katiba ndiyo chanzo cha kuharibu mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK ajivua lawama Bunge la Katiba

LICHA ya hotuba yake ya uzinduzi wa Bunge Maalum la Katiba kutajwa kama chanzo cha kuvurugika kwa bunge hilo, Rais Jakaya Kikwete amejivua lawama hizo, akidai wajumbe wa vyama vya...

 

10 years ago

Mwananchi

Lawama ziende kwa wajumbe wa Katiba, si Rais Jakaya Kikwete

Wakati wa utawala wake, Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza sana umuhimu wa katiba na pia kuitii. Ndiyo maana aliwahi kusema na naomba kumnukuu;

 

9 years ago

Mtanzania

ajivua lawama urais CCM

Jakaya-Kikwete1Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete ameanza kujivua lawama kuhusu mchakato wa urais baada ya kusema mwanachama yeyote wa chama hicho anayetoka kwa sasa anafanya hivyo kwa hiari na mapenzi yake.

Ametoa kauli hiyo huku kukiwa na wimbi la makada wa CCM wakihama chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea urais

Kikwete amesema uamuzi huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM na zilipigwa kura ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Rage ajivua lawama Simba

>Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na Ufundi wa timu hiyo na wala siyo yeye.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Slaa: Rais Kikwete ana rungu la Katiba Mpya

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutafuta suluhu ya kupata mwafaka wa mchakato wa Katiba Mpya kwa kuwa hakuna mamlaka nyingine zaidi inayoweza kuunusuru.

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA

 Kaimu mwenyekiti wa Uukwaa la Katiba Tanzania Hebron Mwakagenda akizungumza na wanandishi wa habari leo Agosti 27, 2014 juu ya mwenendo wa bunge la katiba.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE, DK SHEIN WAKABIDHIWA RASIMU YA PILI YA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete (kulia) Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya leo.…

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani