Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ajivua lawama Bunge la Katiba

LICHA ya hotuba yake ya uzinduzi wa Bunge Maalum la Katiba kutajwa kama chanzo cha kuvurugika kwa bunge hilo, Rais Jakaya Kikwete amejivua lawama hizo, akidai wajumbe wa vyama vya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Katiba Mpya: Rais Kikwete ajivua lawama

>Rais Jakaya Kikwete amejivua lawama zinazoelekezwa kwake kwamba hotuba yake ya kufungua Bunge la Katiba ndiyo chanzo cha kuharibu mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

ajivua lawama urais CCM

Jakaya-Kikwete1Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete ameanza kujivua lawama kuhusu mchakato wa urais baada ya kusema mwanachama yeyote wa chama hicho anayetoka kwa sasa anafanya hivyo kwa hiari na mapenzi yake.

Ametoa kauli hiyo huku kukiwa na wimbi la makada wa CCM wakihama chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea urais

Kikwete amesema uamuzi huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM na zilipigwa kura ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Rage ajivua lawama Simba

>Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na Ufundi wa timu hiyo na wala siyo yeye.

 

10 years ago

StarTV

Kamati ya bunge maliasili, yaitupia lawama Wizara ya Ujenzi.

Na Immaculate Kilulya,

Dar Es Salaam.

 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imekataa kujadili Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya Wizara hiyo kukiuka makubaliano na kamati hiyo na kusababisha hasara kwa taifa baada ya kuziba mianya ya kuziingizia fedha hifadhi za taifa.

 

Miongoni mwa mianya hiyo ni pamoja na utaratibu wa kuingia kwenye hifadhi mara mbili uliosababisha hasara ya Shilingi bilioni 15 kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, huku ucheleweshwaji wa tozo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa kiasi kikubwa Bunge letu linastahili lawama

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) , kambi ya upinzani kwa nyakati tofauti wameibua mambo ya kutisha kila wanapopata fursa, lakini inaonekana kama Serikali imeweka pamba masikioni.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Mwananchi

Lawama ziende kwa wajumbe wa Katiba, si Rais Jakaya Kikwete

Wakati wa utawala wake, Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza sana umuhimu wa katiba na pia kuitii. Ndiyo maana aliwahi kusema na naomba kumnukuu;

 

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.

Na Rabi Hume

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.

Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani