Jukata: Sitta, Werema maadui wa Katiba
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ni maadui waliosababisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kuharibika.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti kwa kutumia nyadhifa zao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oKxTM5m0cec/U_5gR0GO2jI/AAAAAAAA_sA/dqVpPxosogE/s72-c/IMG_3109.jpg)
JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oKxTM5m0cec/U_5gR0GO2jI/AAAAAAAA_sA/dqVpPxosogE/s1600/IMG_3109.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
JUKATA wamwonya Sitta asiongeze muda wa Bunge
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuzingatia muda wa kumaliza shughuli za Bunge hilo. Kauli ya Jukata imekuja baada ya kuwepo kwa...
10 years ago
TheCitizen13 Sep
Forum: Sitta, Werema are the problem
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
JUKATA kutoa tamko rasimu ya katiba
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) linatarajia kutoa tamko kuhusiana na rasimu ya pili ya katiba baada ya kukutana kwa wiki nzima. Akizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu,...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba
JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jukata yataka Katiba mpya isubiri 2016
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...
11 years ago
Habarileo12 Aug
Mbunge:Waliosusia Bunge la Katiba maadui wa haki
MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Suleiman Jaffo, amesema Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliosusia vikao vya Bunge hilo ni adui wa haki za Watanzania.