Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUKATA kutoa tamko rasimu ya katiba

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) linatarajia kutoa tamko kuhusiana na rasimu ya pili ya katiba baada ya kukutana kwa wiki nzima. Akizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHASO IRINGA WATOA TAMKO KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA

Wanachaso wakiwa katika picha ya pamoja  Katibu Mwenezi wa Chaso Iringa, Michael Noel akizungumza kushoto kwake ni mwenyekiti wa chaso mkoa wa Iringa Thimotheo Mkanyia.  baadhi ya viongozi wa chaso kutoka katika vyuo vikuu vilivyoko mkoa wa Iringa wakiwa katika ofisi za chama hicho.
========  ========  ======== CHASO IRINGA WATOA TAMKO KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA
Na Denis Mlowe.
JUMUIYA ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Wanachadema Mkoa wa Iringa (CHASO) wamelaani vikali mwenendo mbovu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba

JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...

 

10 years ago

Mtanzania

Jukata: Sitta, Werema maadui wa Katiba

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba

Na Michael Sarungi, Dar es Salaam

JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ni maadui waliosababisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kuharibika.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti kwa kutumia nyadhifa zao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Jukata yataka Katiba mpya isubiri 2016

Shinikizo la kutaka kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba limezidi kuongezeka baada ya Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), kusema mchakato huo usitishwe hadi Januari 2016 ili kupisha Uchaguzi Mkuu wa mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA

 Kaimu mwenyekiti wa Uukwaa la Katiba Tanzania Hebron Mwakagenda akizungumza na wanandishi wa habari leo Agosti 27, 2014 juu ya mwenendo wa bunge la katiba.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA Deusi Kibamba akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam juu ya mchakato huo wa katiba mpya. Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) leo wamemtaja mwenyekiti wa  bunge maalum la katiba mh SAMWELI SITTA  pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali mh JAJI  FREDRICK WEREMA kuwa ndio maadui wapya wawili wakubwa wa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.Akizungumza na wanahabari jiji ni Dar es salaam mwenyekiti wa JUKATA ndugu DEUCE KIBAMBA amesema...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani