JUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA Deusi Kibamba akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam juu ya mchakato huo wa katiba mpya.
Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) leo wamemtaja mwenyekiti wa bunge maalum la katiba mh SAMWELI SITTA pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali mh JAJI FREDRICK WEREMA kuwa ndio maadui wapya wawili wakubwa wa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.Akizungumza na wanahabari jiji ni Dar es salaam mwenyekiti wa JUKATA ndugu DEUCE KIBAMBA amesema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Jukata: Sitta, Werema maadui wa Katiba
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ni maadui waliosababisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kuharibika.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti kwa kutumia nyadhifa zao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...
10 years ago
VijimamboRASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba
JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Wataja sifa za Mwenyekiti Bunge la Katiba
MBUNGE wa Kahama, James Lembeli, amesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba anatakiwa kuwa ni mtu mwenye uadilifu na asiyekuwa na makundi. Akizungumza na Tanzania Daima juzi kwa njia ya...
11 years ago
Habarileo12 Aug
Mbunge:Waliosusia Bunge la Katiba maadui wa haki
MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Suleiman Jaffo, amesema Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliosusia vikao vya Bunge hilo ni adui wa haki za Watanzania.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jukata yataka Katiba mpya isubiri 2016
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oKxTM5m0cec/U_5gR0GO2jI/AAAAAAAA_sA/dqVpPxosogE/s72-c/IMG_3109.jpg)
JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oKxTM5m0cec/U_5gR0GO2jI/AAAAAAAA_sA/dqVpPxosogE/s1600/IMG_3109.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-sVuf27WRJV0/UySGclMJuBI/AAAAAAAFTp4/7uKR1VqwRfA/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/-sVuf27WRJV0/UySGclMJuBI/AAAAAAAFTp4/7uKR1VqwRfA/s1600/unnamed+(14).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VoA-ZX2uJ-Q/UySGcj9GzWI/AAAAAAAFTpo/8IO7zMEBxms/s1600/unnamed+(15).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-B2GMg7I8QDE/UySGcuQn8vI/AAAAAAAFTps/mTLB8ZkfVLs/s1600/unnamed+(16).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qC1iEtENiDs/UySGdLwYZsI/AAAAAAAFTp0/MVm8Dktpcxo/s1600/unnamed+(18).jpg)