DK. KIGWANGALA AHIMIZA AMANI NCHINI
Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangala akizungumza na vikundi mbalimbali mbalimbali vya Joging vilivyoshiriki katika tamasha la Mbio za Amani lililoshirikisha wawakilishi kutoka pande mbalimbali za nchi na kupokelewa na mbunge huyo ambye alikuwa mgeni rasmi, Dr. Khamis Kigwangala amewaasa wanasiasa kutoleta siasa za uchochezi hasa katika mchakato mzima wa Katiba mpya ambapo amesema waachwe wananchi wenyewe waisome waielewe na wao wataamua kama wataipigia kura ya Ndiyo au Hapana,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FPB20Vn_wS4/VFagXo5QG8I/AAAAAAAGvIA/pSmz81E0fBk/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Rais Magufuli ahimiza Amani nchini, ashiriki misa ya Krismasi katika kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar e Salaam !
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.
![](http://2.bp.blogspot.com/-GFgCRpAfCxY/Vn0C2_RTeUI/AAAAAAAIOlc/t2cBkzh_PPw/s640/x13.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nziZB1rPgcs/Vn0C4VEg2yI/AAAAAAAIOlk/ZTlom5d_tmI/s640/x14.jpg)
11 years ago
Habarileo27 Dec
Askofu Msemwa ahimiza amani
WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo katika Jimbo la Kanisa Katoliki la Tunduru/ Masasi, wamehimizwa kudumisha upendo, amani na utulivu ili kutoa nafasi ya maendeleo kutawala miongoni mwa jamii.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Dk. Bilal ahimiza amani, upendo
SERIKALI imewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili libakie na amani, utulivu na upendo kwani ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal,...
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Papa Francis ahimiza amani na uwazi
10 years ago
Habarileo17 Sep
Papa Francis ahimiza amani Tanzania
BALOZI wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Francisco Montelilo Padilla amewahimiza Watanzania kupendana, kudumisha amani na pia kuzitii mamlaka zilizowekwa na wananchi. Askofu Padilla ambaye pia ni Mwakilishi wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, aliyasema hayo mjini Tarime wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tarime, huku akisisitiza kuwa, ni ujumbe aliopewa na Papa.
10 years ago
Habarileo01 Jan
Shein ahimiza Wazanzibari kudumisha amani
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu na kuepuka mifarakano inayoweza kuligawa taifa.
10 years ago
Habarileo02 Nov
Bilal ahimiza amani, umoja kwa Watanzania
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kudumisha amani na umoja wa Taifa, ikiwa ni njia pekee ya kujiletea maendeleo ya haraka badala ya kuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Papa ahimiza amani katika rasi ya Korea