MADAKATARI WAMWAMBIA BOBBY BROWN AACHE BOBBI KRISTINA APUMZIKE KWA AMANI
Bobby Brown akiwa nje ya hospitali ya chuo kikuu cha Emory siku ya Alhamisi Feb 5, 2015 kwenye siku yake ya kuzaliwa akipokua ametoka kwa ajili ya kuvuta sigara.
Bobby Brown akiongozana na familia ya Houston alipokua akiwasili hospitali mapema leo Alhamisi kumjulia hali mwanae Bobbi Kristina ambaye yupo kwenye koma. Familia ya Houston imekuwanae sambamba tangia siku ya kwanza ya maswahibu ya mtoto Bobbi Kristina.
Bobby Brown akiongozana na Gary Houston ambaye ni mpwa wake Whitney...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Exclusive gossip: Bobby Brown Says Bobbi Kristina ‘Is Awake’
Bobbi
“I can say today, Bobbi is awake. She’s watching me,” he told a shocked crowd at the Verizon Theater in Dallas, Texas, on Saturday. A video of his statement was posted to Instagram.
The video was captioned, “Theirs [sic] been terrible rumors circulating for months … @kingbobbybrown would like to share a message with you all … From our family to yours … Thank you for all the well wishes and prayers for his daughter #BK …. But let it be known that #GOD holds the glory …. continue to...
10 years ago
Bongo506 Feb
Madaktari wamuomba Bobby Brown awaruhusu wazime mashine inayomsaidia Bobbi Kristina kupumua sababu hakuna matumaini
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Bobby Brown achoshwa na hali ya Kristina
NA BADI MCHOMOLO
BAADA ya Kristina Brown kukaa hospitali kwa muda wa siku 73 tangu aanguke bafuni Januari 31 mwaka huu, baba yake, Bobby Brown, ameonekana kukata tamaa ya kupona kwa binti yake huyo.
Kristina bado anaishi kwa kutegemea nguvu ya mashine, lakini hata hivyo hali yake haileti matumaini tangu alipopelekwa hospitalini.
“Mpaka sasa hatujui nini kitatokea kwa mtoto wetu, tumemkabidhi Mungu kila kitu kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho katika kila jambo.”
Mbali na Bobby Brown...
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Bobbi Kristina Brown Dies at 22
Bobbi Kristina Brown, the daughter of late music legend Whitney Houston and R&B singer Bobby Brown, died on July 26, surrounded by her family, at Peachtree Christian Hospice in Duluth, Georgia. She was 22.
“She is finally at peace in the arms of God,” the Houston family said in statement to ET. “We want to again thank everyone for their tremendous amount of love and support during these last few months.”
On Jan. 31, Bobbi Kristina was found unresponsive in her bathtub, and was then taken...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa6queK8L7Ixr7tIF1WoMxFGsG9lT85Sk2NcDg*nwJw5muJksBd1xcgVFbYA8Rfp6Tz7UbDDB5wRdPW1lToBcxn*/BROWNANDBOBBI.jpg)
BOBBY BROWN: SIWEZI KUONDOA MASHINE YA KUPUMUA, MUNGU ATAMWOKOA MWANANGU BOBBI
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo45mifnQvhAkwS8Hsx9*Y6y6l37jjJJHkNNQyaMWG0SVPQ-08xLmEWnvEUV2DiQ*9ro1ZiYRtDFxfSRveFASF6u/bobbikristinab768.jpg?width=650)
BAADA YA KUZIMIA KWA MIEZI MIWILI, BOBBI KRISTINA AZINDUKA
10 years ago
Bongo504 Feb
Polisi walikuta dawa za kulevya nyumbani kwa mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k6V01nAgTUXFqKYFmLJeORpb7TDQZHptRliSyi9IhO2mcWtJs3CUaaDKiVoBOe9nJQvG-hg7fpFaFrSRJwVYfoz/2A3F8029000005783150288imagem20_1436126767798.jpg?width=650)
BOBBY BROWN AOMBA MSAMAHA KWA KUSAHAU MASHAIRI