Madaktari wamuomba Bobby Brown awaruhusu wazime mashine inayomsaidia Bobbi Kristina kupumua sababu hakuna matumaini
Madaktari wa hospitali alipolazwa aliyekuwa mtoto wa mwanamuziki wa nchini Marekani,marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina hawana tena matumaini ya kuokoa maisha ya binti huyo. Madaktari hao wamemuomba baba yake Bobby Brown kutoa ruhusa ya kuzima mashine inayomsaidia kupumua ikiwa na maana kwamba kukubali matokeo ya kuwa hawezi kupona,TMZ imeripoti. Vyanzo vya familia hiyo vimeiambia TMZ […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa6queK8L7Ixr7tIF1WoMxFGsG9lT85Sk2NcDg*nwJw5muJksBd1xcgVFbYA8Rfp6Tz7UbDDB5wRdPW1lToBcxn*/BROWNANDBOBBI.jpg)
BOBBY BROWN: SIWEZI KUONDOA MASHINE YA KUPUMUA, MUNGU ATAMWOKOA MWANANGU BOBBI
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Exclusive gossip: Bobby Brown Says Bobbi Kristina ‘Is Awake’
Bobbi
“I can say today, Bobbi is awake. She’s watching me,” he told a shocked crowd at the Verizon Theater in Dallas, Texas, on Saturday. A video of his statement was posted to Instagram.
The video was captioned, “Theirs [sic] been terrible rumors circulating for months … @kingbobbybrown would like to share a message with you all … From our family to yours … Thank you for all the well wishes and prayers for his daughter #BK …. But let it be known that #GOD holds the glory …. continue to...
10 years ago
Vijimambo06 Feb
MADAKATARI WAMWAMBIA BOBBY BROWN AACHE BOBBI KRISTINA APUMZIKE KWA AMANI
![](http://assets-s3.usmagazine.com/uploads/assets/articles/82790-bobby-brown-at-hospital-on-birthday-as-bobbi-kristina-remains-in-coma/1423167550_bobby-brown-article.jpg)
![](http://i2.wp.com/okmagazine.com/wp-content/uploads/2015/02/bobby-brown-sad-birthday-at-the-hospital-03-0.jpg?resize=900%2C680)
![bobby-brown-sad-birthday-at-the-hospital](http://i0.wp.com/okmagazine.com/wp-content/uploads/2015/02/bobby-brown-sad-birthday-at-the-hospital.jpg?resize=600%2C658)
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Bobby Brown achoshwa na hali ya Kristina
NA BADI MCHOMOLO
BAADA ya Kristina Brown kukaa hospitali kwa muda wa siku 73 tangu aanguke bafuni Januari 31 mwaka huu, baba yake, Bobby Brown, ameonekana kukata tamaa ya kupona kwa binti yake huyo.
Kristina bado anaishi kwa kutegemea nguvu ya mashine, lakini hata hivyo hali yake haileti matumaini tangu alipopelekwa hospitalini.
“Mpaka sasa hatujui nini kitatokea kwa mtoto wetu, tumemkabidhi Mungu kila kitu kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho katika kila jambo.”
Mbali na Bobby Brown...
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Bobbi Kristina Brown Dies at 22
Bobbi Kristina Brown, the daughter of late music legend Whitney Houston and R&B singer Bobby Brown, died on July 26, surrounded by her family, at Peachtree Christian Hospice in Duluth, Georgia. She was 22.
“She is finally at peace in the arms of God,” the Houston family said in statement to ET. “We want to again thank everyone for their tremendous amount of love and support during these last few months.”
On Jan. 31, Bobbi Kristina was found unresponsive in her bathtub, and was then taken...
10 years ago
Vijimambo03 Feb
BOBBI KRISTINA AMEANZA KUONYESHA MATUMAINI
![](http://img2.timeinc.net/people/i/2013/news/130722/bobbi-kristina-600.jpg)
Mtoto wa Whitney Houston aliyezaa na Bobbi Brown, Bobbi Kristina ameanza kuonyesha dalili nzuri baada ya siku ya jumatatu kuanza kuchezasha mamcho na madaktari kusema hiyo ni dalili nzuri na ya kutia matumaini.
Bobbi Kristina alikutwa siku ya Jumamosi akiwa amenguka bafuni akiwa ameinamisha kichwa chini huku akishindwa kupumua na kudhaniwa kudhulika na madawa ya kulevya. Madaktari wameeleza kwa sasa hali yake inatia matumaini na oksigeni imeaanza kuongezeka...
10 years ago
Vijimambo12 Feb
SHANGAZI WA BOBBI KRISTINA ASEMA HABARI ZA KUONDOLEWA MASHINE NI ZA UWONGO
![](http://www.showbiz411.com/wp-content/uploads/2015/01/Uptown_bobbi_kristina.jpg)
Bobbi Kristina alikutwa ameanguka bafuni huku kichwa kikiwa kikiwa ikimeinamia chini na kuonekana...
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Bobby Kristina, Whitney yaleyale
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NaiF1Kr7Q13BLDhCNLhuh1oteu6Ss6TPdc6Ds1OU*paiuIJuEDx0kMqd6Na4FYkicc4F1LBsuyy2sWdduU9VOI7x/bobbikristinab768.jpg?width=650)
BOBBI KRISTINA KUREJESHWA NYUMBANI