Bobby Kristina, Whitney yaleyale
“Maji hufuata mkondo,†walisema Waswahili. Ndivyo unavyoweza kumwelezea Bobby Kristina, mtoto wa aliyekuwa nguli wa miondoko ya muziki wa Pop Whitney Huston aliyepoteza maisha kutokana na matumizi ya dawa za kulevya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Bobby Brown achoshwa na hali ya Kristina
NA BADI MCHOMOLO
BAADA ya Kristina Brown kukaa hospitali kwa muda wa siku 73 tangu aanguke bafuni Januari 31 mwaka huu, baba yake, Bobby Brown, ameonekana kukata tamaa ya kupona kwa binti yake huyo.
Kristina bado anaishi kwa kutegemea nguvu ya mashine, lakini hata hivyo hali yake haileti matumaini tangu alipopelekwa hospitalini.
“Mpaka sasa hatujui nini kitatokea kwa mtoto wetu, tumemkabidhi Mungu kila kitu kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho katika kila jambo.”
Mbali na Bobby Brown...
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Bobbi Kristina mwanawe Whitney afariki
10 years ago
TheCitizen27 Jul
Whitney Houston & Bobby Brown's Daughter Passes After Nearly 7-Month Coma
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Whitney Houston's Daughter Bobbi Kristina Dead at 22

She passed away outside Atlanta in the hospice care facility where she's been since June 24 ... when her family decided to take her off all meds. As we first reported, a specialist had told them there was no chance of recovery. Bobbi Kristina was found submerged in her bathtub on January 31, and police believe she was underwater for anywhere between 2 and 5 minutes. Paramedics were able to resuscitate her,...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Exclusive gossip: Bobby Brown Says Bobbi Kristina ‘Is Awake’
Bobbi
“I can say today, Bobbi is awake. She’s watching me,” he told a shocked crowd at the Verizon Theater in Dallas, Texas, on Saturday. A video of his statement was posted to Instagram.
The video was captioned, “Theirs [sic] been terrible rumors circulating for months … @kingbobbybrown would like to share a message with you all … From our family to yours … Thank you for all the well wishes and prayers for his daughter #BK …. But let it be known that #GOD holds the glory …. continue to...
10 years ago
Vijimambo
BOBBI KRISTINA AMBAYE NI MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AFARIKI DUNIA

10 years ago
Vijimambo02 Feb
MTOTO WA WHITNEY HOUSTON, BOBBI KRISTINA ALAZWA HALI YAKE NI TETE

Bobbi Kristina alikutwa kwenye bafu huku uso wake ukiwa ameinamia chini huku akishindwa kupumua na kukimbizwa hospitali ambapo madaktari wamejaribu kumrudisha katika hali yake ya kawaida ambayo sasa inaonekana ubongo wake unafanyakazi kwa asilimia ya chini kitu ambacho madaktari wamesema sio dalili nzuri kwa mgonjwa wa namna hiyo...
10 years ago
Vijimambo06 Feb
MADAKATARI WAMWAMBIA BOBBY BROWN AACHE BOBBI KRISTINA APUMZIKE KWA AMANI


