Balozi Dkt. Diodorus Buberwa mgeni rasmi katika utowaji wa zawadi kwa washindi wa “Na Mimi Nipo- Online Arts & Science Competition”
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.
Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande.
Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo.
Mratibu wa shindano hilo, Joyce Msigwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBALOZI DKT. DIODORUS BUBERWA MGENI RASMI KATIKA UTOWAJI WA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION LILILO ANDALIWA NA FASDO.
10 years ago
MichuziBALOZI DKT. KAMALA MGENI RASMI KATIKA UTOWAJI WA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION LILILO ANDALIWA NA FASDO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLFASDO YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION’
Baadhi ya kazi za washiriki zikioneshwa. Kikundi cha ngoma za asili cha FASDO Arts Group kikitumbuiza kabla ya zoezi la kutoa zawadi kwa washindi.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0Foy6BawwqRJcsxXpQJnmlz229U6Eyugeok2GnjwZ1OhxTpLObr81C-jiOMWEKBa4Srg9-ipLysly6t82BsBaK3i/001.Droo.jpg?width=650)
WASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM
Humudini Abdulhussen Ofisa Mwandamizi wa Bodi ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha Tanzania (kushoto) akihakiki moja ya namba za simu anazoonyeshwa kwenye kompyuta mpakato na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) na Ofisa Masoko wa kampuni hiyo Prestin Lyatonga (kulia) wakati wa droo ya pili ya shindano la “Shinda na Kabumbu†inayowawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo...
10 years ago
GPLAIRTEL YAKABITHI PESA KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Gabriel Ferdinand (kulia) mwanafunzi wa Musoma Mara akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Musoma, Emmanuel Rafael (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya promosheni ya “Jiongeze na Mshikoâ€. Hamisi Rashid (kulia) mkulima wa Sikonge, Tabora akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Tabora, Phidelis Lugangila (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya shindano la “Jiongeze na Mshikoâ€....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pIkfjCrlATFCJLwTcqU5EYY8vCOs4EpUI9jmILyrq*yzhRqB5I5wwRfajMrICWPzvzVdgx95MPIw0EQ6QFu0Rce/nyinyo.gif)
“BILA NYINYI WATANZANIA, MIMI NAKUFA”
Stori: Makongoro Oging’
“Hali niliyonayo kiafya kwa sasa ni ya kutia mashaka, sina muda mrefu kuendelea kuishi hapa duniani, nikifikiria ninavyoteseka ndani ya familia yangu nikichanganya na maumivu ya ugonjwa usiopata matibabu, naamini bila msaada wenu nitafariki dunia.†Hajira Twalib Mdoka akiwa mwenye maumivu makali baada ya kuugua ugonjwa wa kansa. Hivyo ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Hajira...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSleLaEoEI3MpT0B9LCGdVZ9AfGkD44o6We5dLaZfhMa8ChClCAcORU*sb1746XgyDrmI6b6UPFl2BtSV71CuBug/1B.jpg)
AIRTEL IMETANGAZA WASHINDI WA DROO YA NNE YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiwasiliana na mmoja wa washindi wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Airtel "Jiongeze na Mshiko" iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ambapo wateja wawili, Daudi Kingonji wa Dar na Josephat Mahinda wa Manyara waliibuka washindi. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Majjid Bakary na Afisa Huduma za Ziada wa Airtel, Fabian...
10 years ago
GPLAIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA DRAW YA PILI YA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya pili ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Musoma na Tabora walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician. Droo hii...
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA KWA WAPIGANAJI WALIOFANIKISHA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-BlnF7IRNDdk/UwjUfV6WhyI/AAAAAAAFOtw/a2LeefdQO6w/s1600/TA1A4980.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania