Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FASDO YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION’

Baadhi ya kazi za washiriki zikioneshwa. Kikundi cha ngoma za asili cha FASDO Arts Group kikitumbuiza kabla ya zoezi la kutoa zawadi kwa washindi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI DKT. KAMALA MGENI RASMI KATIKA UTOWAJI WA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION LILILO ANDALIWA NA FASDO

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa,  Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande.  Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI DKT. DIODORUS BUBERWA MGENI RASMI KATIKA UTOWAJI WA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION LILILO ANDALIWA NA FASDO.

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo. Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa,  Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo Mratibu wa shindano hilo, Joyce Msigwa akizungumza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Dkt. Diodorus Buberwa mgeni rasmi katika utowaji wa zawadi kwa washindi wa “Na Mimi Nipo- Online Arts & Science Competition”

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.

Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande.

Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo.

Mratibu wa shindano hilo, Joyce Msigwa...

 

10 years ago

Michuzi

STATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO

Kampuni ya Statoil Tanzania imewatangaza na kuwazawadia washindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi Desemba 4. Mashujaa wa Kesho ni shindano la biashara lililoandaliwa kwa lengo la kukuza dhana ya ujasiriamali kwa vijana mkoani Mtwara.
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule Direct Tanzania yatoa zawadi kwa washindi wa Insha “A-Level-Category”

Wanafunzi wakipata Selfie ya pamoja na Executive Director Faraja Nyarandu (1)

Wanafunzi wakipata Selfie ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shule Direct, Bi. Faraja Nyalandu.

Shule Direct ni taasisi binafsi inayojishughulisha na kutoa elimu kwa njia ya mtandao na teknolojia ya kidijiti. Kila mwaka Shule Direct huendesha mashindano ya uandishi wa insha kwa wanafunzi wa “O-Level” na “A-Level”; Mashindano hayo yapo wazi kwa shule zote za sekondari Tanzania kushiriki.

Tarehe 9/09/2015 Shule Direct kwa kushirikiana na taasisi ya Flaviana Matata Foundation, Samsung Tanzania,...

 

11 years ago

Michuzi

Samsung Tanzania yakabidhi zawadi kwa washindi wake

Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi jiko la kuokea (Macrowave),Mary Nyarusi mkazi wa Jiji la Arushaambaye ni  mmoja wa wateja walioshinda zawadi mbalimbali baada ya kununua bidhaa halisi za kampuni hiyo,wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi hizo iliyofanyika hivi karibuni kwenye Duka lao lililopo Quality Centre,jijini Dar es Salaam.    Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi kamera ndogo ya...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA NA USHINDE

BENKI ya NMB Jana ilikabidhii zawadi kwa washindi wa promosheni ya Weka na Ushinde. Zaidi ya wateja 165 walijishindia zawadi mbali mbali ikiwa ni: washindi 17 wa Bajaj, wa Pikipiki aina ya ‘Boxer’ 16 na Baiskeli aina ya ‘Phoenix’ 137.
Washindi hao wamepatikana ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwa promosheni hii ya Weka na Ushinde ambayo inaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu 2014.
Benki ya NMB inatoa wito kwa wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa kwa kushiriki kampeni ya Weka na...

 

5 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU KWA NJIA YA MTANDAO WAKABIDHIWA ZAWADI


MRATIBU wa mashindano ya Quran kwa njia ya Mtandao, Mohamed Abdallah (kulia) akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mashindano ya Quran kwa wanawake, Aisha Faki Juma, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika katika ukumbi wa Arnatoglou jijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni Balozi wa Tuzo za Kimataifa za Quran Tukufu 2020, Zena Abubakar. (Picha na Muhidin Sufiani).
MGENI rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA LIGI KUU TANZANIA BARA KESHO

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kesho siku ya alhamis tarehe 11/06/2015 wanatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa Vodacom Premier League msimu wa 2014/2015.
Hafla ya utoaji wa zawadi hizo itafanyika katika ukumbi wa JB Belmonte (Kilimanjaro) uliopo katika jengo la Golden Jubilee Tower (PSPF), mtaa wa Ohio eneo la Posta Mpya jijini Dar es salaam kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi katika halfa hiyo ya utoaji zawadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani