Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA NA USHINDE

BENKI ya NMB Jana ilikabidhii zawadi kwa washindi wa promosheni ya Weka na Ushinde. Zaidi ya wateja 165 walijishindia zawadi mbali mbali ikiwa ni: washindi 17 wa Bajaj, wa Pikipiki aina ya ‘Boxer’ 16 na Baiskeli aina ya ‘Phoenix’ 137.
Washindi hao wamepatikana ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwa promosheni hii ya Weka na Ushinde ambayo inaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu 2014.
Benki ya NMB inatoa wito kwa wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa kwa kushiriki kampeni ya Weka na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao

Mshindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC Limited Bw. Abib Gervas Ndendya (kushoto) akipokea funguo ya bodaboda kutoka kwa Meneja wa tawi la NBC Njombe bi Dorah Godfrey Lewis (kulia) baada ya kuibuka mshindi katika promosheni hiyo hivi karibuni na baadhi ya wafanyakazi wa tawi hilo wakishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Njombe. Droo kubwa ya promosheni hiyo itafanyika wiki ijayo. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera Mheshimiwa Elizabeth Batenga akiwa na wafanyakazi wa NBC tawi la...

 

11 years ago

Michuzi

SBL YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA WIKI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

 Mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili Omari Mikidadi (47) kutoka Mbagala jijini Dar es Salaam akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Samsung Gallaxy tablet kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Erick Tafisa(kulia), wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika wiki hii jijini Dar es Salaam.   Meneja Promosheni wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Davis Kambi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili Alex...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’

 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina ya Passo, Tumaini Mwakajwanga aliyejishindia kupitia promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa gari yake aina ya Passo na uongozi wa benki ya CRDB. 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

BOA Bank yamwaga zawadi kwa wateja wanaoshiriki kampeni ya ‘weka akiba ushinde’

1 (1)

Meneja Mwanandamizi wa Masoko na Mawasiliano wa BOA Tanzania, Bw. Solomon Haule akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kampeni yake inayoendelea ya ufunguzi wa akaunti mpya kwenye benki hiyo na kuendelea kuweka akiba katika zabuni ili kuhimiza tabia ya kujiwekea akiba nchini, ambapo benki hiyo imewazawadia washindi watano mapema wikiendi hii kwa kufungua akaunti na kuweka akiba na benki ya BOA Tanzania.

Mwandishi Wetu

Benki ya Afrika Nchini Tanzania (BOA Tanzania)...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 20 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

11 years ago

Michuzi

Samsung Tanzania yakabidhi zawadi kwa washindi wake

Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi jiko la kuokea (Macrowave),Mary Nyarusi mkazi wa Jiji la Arushaambaye ni  mmoja wa wateja walioshinda zawadi mbalimbali baada ya kununua bidhaa halisi za kampuni hiyo,wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi hizo iliyofanyika hivi karibuni kwenye Duka lao lililopo Quality Centre,jijini Dar es Salaam.    Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi kamera ndogo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani