BOA Bank yamwaga zawadi kwa wateja wanaoshiriki kampeni ya ‘weka akiba ushinde’
Meneja Mwanandamizi wa Masoko na Mawasiliano wa BOA Tanzania, Bw. Solomon Haule akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kampeni yake inayoendelea ya ufunguzi wa akaunti mpya kwenye benki hiyo na kuendelea kuweka akiba katika zabuni ili kuhimiza tabia ya kujiwekea akiba nchini, ambapo benki hiyo imewazawadia washindi watano mapema wikiendi hii kwa kufungua akaunti na kuweka akiba na benki ya BOA Tanzania.
Mwandishi Wetu
Benki ya Afrika Nchini Tanzania (BOA Tanzania)...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OYROYfPsACQ/VFCqE7BLvAI/AAAAAAAGuAI/7ZuhV9XPvhg/s72-c/Untitleda.png)
NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA NA USHINDE
BENKI ya NMB Jana ilikabidhii zawadi kwa washindi wa promosheni ya Weka na Ushinde. Zaidi ya wateja 165 walijishindia zawadi mbali mbali ikiwa ni: washindi 17 wa Bajaj, wa Pikipiki aina ya ‘Boxer’ 16 na Baiskeli aina ya ‘Phoenix’ 137.
Washindi hao wamepatikana ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwa promosheni hii ya Weka na Ushinde ambayo inaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu 2014.
Benki ya NMB inatoa wito kwa wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa kwa kushiriki kampeni ya Weka na...
Washindi hao wamepatikana ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwa promosheni hii ya Weka na Ushinde ambayo inaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu 2014.
Benki ya NMB inatoa wito kwa wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa kwa kushiriki kampeni ya Weka na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dOV8831GDKcgC9m4UjrIfA*MG04AZMVwbvACLQNNWi3nZM3LRctWJzDhxZqoKFDRngpmcplC7swv12Q6V*zlWYR1lv8AE8ht/NMBcopy.jpg?width=750)
11 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe
11 years ago
MichuziNBC yakabidhi zawadi ya Gari kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe
10 years ago
MichuziBOA Tanzania yakabidhi zawadi mbali mbali kwa washindi wake leo
11 years ago
GPLBIG BON WASHEREHEKEA VALENTINE'S DAY KWA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAO
Wafanyakazi wa kituo cha kuuza mafuta cha Big Bon kilichopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam wakipozi huku wakiwa na zawadi za Valentine's kwa ajili ya wateja wao. Mmoja wa wafanyakazi wa Big Bon akimpatia mteja zawadi kwa ajili ya Siku ya Wapendanao.…
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAHAMASISHA UPENDO KWA KUTOA ZAWADI YA 'VALENTINE DAY' KWA WATEJA
Meneja Maduka, Chakula na Huduma wa Kampuni ya Total nchini Tanzania Jane Mwita akitoa zawadi ya ua kama ishara ya upendo kwa wateja wao ambao wamefika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Total cha Mliman City jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo imeamua kusambaza upendo katika siku ya Valentine.
Meneja wa Kituo cha Mafuta cha Total Mliman City jijini Dar es Salaam Luqman Salum akitoa zawadi ya ua kwa mteja wao ambaye amefika kujaza mafuta kwenye kituo hicho leo siku ya Valentine...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f6ABMNEeJTA/Uu4W0bDZRNI/AAAAAAAFKPo/fCEIXtbS_Rg/s72-c/1.jpg)
Washindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao
![](http://2.bp.blogspot.com/-f6ABMNEeJTA/Uu4W0bDZRNI/AAAAAAAFKPo/fCEIXtbS_Rg/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TlhrBRHwsT4/Uu4Wz1NF15I/AAAAAAAFKPk/DsirTXeAzZc/s1600/2.jpg)
11 years ago
TheCitizen31 Jan
Afford sport financiers, Boa Bank urges govt
Bank of Africa (Boa) has called upon the government to consider tax rebates to corporate entities that support sport activities.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania