Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM‏

Humudini Abdulhussen Ofisa Mwandamizi wa Bodi ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha Tanzania (kushoto) akihakiki moja ya namba za simu anazoonyeshwa kwenye kompyuta mpakato na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) na Ofisa Masoko wa kampuni hiyo Prestin Lyatonga (kulia) wakati wa droo ya pili ya shindano la “Shinda na Kabumbu” inayowawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Washindi 62 wamejinyakulia zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya “shinda na kabumbu” ya Vodacom

Jumla ya washindi 62 mpaka sasa wamejishindia zawadi ya shilingi 50,000 kila mmoja na wateja wawili wakubwa wa wiki wamejishindia 1,000,000 kila mmoja katika droo ya kwanza na ya pili ya promosheni ya “SHINDA NA KABUMBU” iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa inawalenga wapenzi wa soka.
Washindi wa shilingi 1,000,000/-katika droo ya kwanza ni Salome Mayoba mkazi wa Kahama,na mshindi wa droo ya pili ni na Raymond Mwegoha mkazi wa Dar es Salaam ambapo washindi wa shilingi 50,000/- wametangazwa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAJA NA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU”‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akiongea  na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya ”SHINDA NA KABUMBU”inayolenga kuwawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki kwa kutuma neno SOKA kwenda namba 15725 ambapo mteja atakuwa akiulizwa maswali mbalimbali kwa njia ya ujumbe kuhusiana na maswala ya soka na kuweza kujishindia fedha...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA DRAW YA PILI YA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”‏

Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya pili ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Musoma na Tabora walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician. Droo hii...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAWAZAWADIA WATEJA WAKE MAMILIONI KUPITIA PROMOSHENI YAKE YA “JIONGEZEE NA MSHIKO”‏

Maneja mauzo wa Airtel Kigoma Philip Nkupama (kushoto) akimzawadia shilingi million moja, Bwana Luwi Saulo Karunda kutoka Kigoma baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kulia)  akimzawadia shilingi million tatu Habibu Mwella Freuzi   (kushoto), shilingi million tatu, baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaja na promosheni ya “shinda na kabumbu”

Wadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla wameletewa Promosheni mpya na ya aina yake iliyozinduliwa jana na kampuni hiyo ambapo imewalenga wapenzi wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki katika Promosheni ya “SHINDA NA KAMBUMBU”
Promosheni hii ambayo itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo itawafanya wapenzi wa soka kuchemsha bongo kujibu maswali mbalimbali kuhusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAKABITHI PESA KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”

Gabriel Ferdinand (kulia) mwanafunzi wa Musoma Mara akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Musoma, Emmanuel Rafael (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Hamisi Rashid (kulia) mkulima wa Sikonge, Tabora akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Tabora, Phidelis Lugangila (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya shindano la “Jiongeze na Mshiko”....

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’

 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina ya Passo, Tumaini Mwakajwanga aliyejishindia kupitia promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa gari yake aina ya Passo na uongozi wa benki ya CRDB. 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Dkt. Diodorus Buberwa mgeni rasmi katika utowaji wa zawadi kwa washindi wa “Na Mimi Nipo- Online Arts & Science Competition”

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.

Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande.

Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo.

Mratibu wa shindano hilo, Joyce Msigwa...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani