Washindi 62 wamejinyakulia zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya “shinda na kabumbu” ya Vodacom
Jumla ya washindi 62 mpaka sasa wamejishindia zawadi ya shilingi 50,000 kila mmoja na wateja wawili wakubwa wa wiki wamejishindia 1,000,000 kila mmoja katika droo ya kwanza na ya pili ya promosheni ya “SHINDA NA KABUMBU” iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa inawalenga wapenzi wa soka.
Washindi wa shilingi 1,000,000/-katika droo ya kwanza ni Salome Mayoba mkazi wa Kahama,na mshindi wa droo ya pili ni na Raymond Mwegoha mkazi wa Dar es Salaam ambapo washindi wa shilingi 50,000/- wametangazwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM
10 years ago
MichuziVodacom yaja na promosheni ya “shinda na kabumbu”
Promosheni hii ambayo itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo itawafanya wapenzi wa soka kuchemsha bongo kujibu maswali mbalimbali kuhusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi...
10 years ago
GPLVODACOM YAJA NA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU”
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziWashindi Promosheni Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti wazawadiwa
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA 'TUMA PESA NA SIMBANKING SHINDA PASSO'
11 years ago
Habarileo20 Feb
Vodacom yajumuika na washindi wa promosheni
KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom imejumuika na washindi wake 48 wa iliyokuwa Promosheni ya Timka na Bodaboda, iliyodumu kwa miezi mitatu kutoka Oktoba mwaka jana hadi Januari mwaka huu, huku ikijivunia kuboresha maisha ya mamia ya Watanzania.
11 years ago
MichuziWashindi wa promosheni ya WEKA UPEWE ya NBC wakabidhiwa zawadi zao