Washindi Promosheni Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti wazawadiwa
![](http://1.bp.blogspot.com/-Fqkt99pphmk/U6GXfRmIUgI/AAAAAAAFrg4/07Ga_CZvFJk/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Washindi wa bahatinasibu ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,Issa Rashid (wapili kushoto) na Michael Msumba (wapili kulia) wakipokea zawazi zao kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Mult Choice ( Dstv ) Barbara Kambogi (kulia) na Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi,Edward Uisso.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi,Edward Uisso (wapili kushoto) akiongea na Mshindi wa promosheni ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,wakati wa kuchezesha droo ya wiki ya pili, kulia ni Afisa Uhusiano wa Mult Choice...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Wanne wanyakua zawadi ya Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti
Meneja Kasoko wa Mwananchi Communications Ltd (MCL) wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti, Bernard Mukasa akizungumza kwa njia ya simu katika ofisi za MCL jijini Dar es Salaam jana na mmoja wa washindi wa bahati nasibu ya Shinda Ki-Brazil ambaye ni fundi umeme, Issa Rashid Ndingo mkazi wa Kigogo aliyeshinda king’amuzi cha DSTV. Bahati nasibu hiyo inaendeshwa na gazeti la Mwanaspoti. Kushoto ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Michezo nchini, Mrisho Millao.(Picha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-M2TSHk5HcyY/VHWpbe7cXRI/AAAAAAAGzgk/RS6QHyAMjTs/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Washindi 62 wamejinyakulia zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya “shinda na kabumbu” ya Vodacom
Washindi wa shilingi 1,000,000/-katika droo ya kwanza ni Salome Mayoba mkazi wa Kahama,na mshindi wa droo ya pili ni na Raymond Mwegoha mkazi wa Dar es Salaam ambapo washindi wa shilingi 50,000/- wametangazwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0Foy6BawwqRJcsxXpQJnmlz229U6Eyugeok2GnjwZ1OhxTpLObr81C-jiOMWEKBa4Srg9-ipLysly6t82BsBaK3i/001.Droo.jpg?width=650)
WASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fzUPRwo5iXM/Uw3tYANqIrI/AAAAAAACbK8/HU-u-WX-LHg/s72-c/3rd+Draw+-+pic....1.jpg)
WAWILI WATANGAZWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL WIKI HII
![](http://4.bp.blogspot.com/-fzUPRwo5iXM/Uw3tYANqIrI/AAAAAAACbK8/HU-u-WX-LHg/s1600/3rd+Draw+-+pic....1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-D-LKuqYZVu0/Uw3tZVn0YZI/AAAAAAACbLE/nuvr2fVlpzU/s1600/3rd+Draw+-+pic....9.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Washindi wa Keki Bora wazawadiwa
MAKUNDI yaliyoshinda katika shindano la kutengeneza keki bora yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, yametangazwa huku vigezo vikiwa ni ubora katika utengenezaji, ubunifu na radha. Kupitia maonesho hayo...
11 years ago
Habarileo10 Mar
Washindi St Anne wazawadiwa mil.13.2/-
MSHINDI wa kwanza kitaifa wa somo la Hisabati katika mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana , Sunday Mrutu, kutoka Shule ya St Anne Marie, Dar es Salaam na wanafunzi wenzake 33 waliopata daraja la kwanza, wamepongezwa na shule kwa kupewa fedha taslimu.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-y9AXM5EX7Oc/ViN88Kf585I/AAAAAAAAE5U/bUUxwXBsVWk/s72-c/IMG_0271.jpg)
Washindi wa Shindano la 'Genius-Cup' Wazawadiwa
![](http://2.bp.blogspot.com/-y9AXM5EX7Oc/ViN88Kf585I/AAAAAAAAE5U/bUUxwXBsVWk/s640/IMG_0271.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TCZz1C54bvk/VeQT8Hf900I/AAAAAAAH1LQ/SDTiGvxsSw8/s72-c/IMG-20150825-WA0005.jpg)
WATEJA WA AIRTEL WAZAWADIWA MILIONI 25 KUPITIA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
![](http://4.bp.blogspot.com/-TCZz1C54bvk/VeQT8Hf900I/AAAAAAAH1LQ/SDTiGvxsSw8/s640/IMG-20150825-WA0005.jpg)
pesa taslimu bwana Mwahamadi Katula (24) mfanyabiashara na mkazi wamkoa wa Kagera , mara baada ya kuibuka mshindi wa shilingi milioni 3katika droo ya wiki ya tano ya promosheni ya Jiongeze na Mshikoinayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JsOoztq6sZM/VeQT8SV2k2I/AAAAAAAH1LU/jQ83KqbolFU/s640/IMG_7154.jpg)